Umekuwa mtumwa wa mapenzi kwa kujitakia mwenyewe.Mungu amekupa akili na utashi,lazima uweze kuthibiti mihemiko,hisia nk.Mpende akupendae,acha ujinga.Tulia,omba Mungu,utakutanishwa na mwanamume munaye pendana.Kwenye mapenzi lazima kuwe na ulinganifu wa upendo,vinginevyo mmoja anakuwa mtumwa.Kamwe...