Recent content by mbugabire

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mkuu naomba kama unaweza kunisaidia vitabu hivi 1. Room at the top-John Braine 2. Life at the top-John Braine
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna tena namna ya kuizuia CHADEMA kuchukua nchi. Ila wakijirekebisha katika hili, watadumu kwenye siasa nchi kwa miaka mingi zaidi

    Mkuu naelewa propaganda ya CCM. Ila hoja hapa ni hili swala la ukabila inadhihirishwa sasa rasmi na CDM yenyewe katika ngazi ya majimbo. CCM wakiitumia hii propaganda kwa wakati huu ambapo ipo wazi wazi kabisa huko majimboni, hakuna mtu ndani ya CDM atakayeinuka kutoa utetezi wa maan.
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna tena namna ya kuizuia CHADEMA kuchukua nchi. Ila wakijirekebisha katika hili, watadumu kwenye siasa nchi kwa miaka mingi zaidi

    There is nothing personal kwenye hii hoja, yako majimbo mengi yalipatwa na hili jambo. Kuna ukaazi na ukabila, kuangalia ukabila kama kigezo sio sahihi kwa nchi yetu. Lakini kwa kutumia kigezo cha ukaazi CDM imeamua kujijengea taswira ya kikabila kwenye baadhi ya majimbo hapa nchini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna tena namna ya kuizuia CHADEMA kuchukua nchi. Ila wakijirekebisha katika hili, watadumu kwenye siasa nchi kwa miaka mingi zaidi

    Sikupingi mkuu uko sahihi Hoja hapa ni kwamba, kweli huyo aliyesimamishwa kwenye hilo jimbo kupambana na CCM wamezingatia nini considering the majority of voters wa jimbo husika?
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna tena namna ya kuizuia CHADEMA kuchukua nchi. Ila wakijirekebisha katika hili, watadumu kwenye siasa nchi kwa miaka mingi zaidi

    Utaratibu wa kura za maoni CDM inabidi uangaliwe upya. Kuna majimbo huoni logic ya kuwaweka wagombea waliosimamishwa, zaidi sana ni ulafi tu na mwisho wa siku watu wa eneo husika watakiona chama kina agenda zake za siri. Watakikinai chama kwa mambo yao yakipuuzi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna tena namna ya kuizuia CHADEMA kuchukua nchi. Ila wakijirekebisha katika hili, watadumu kwenye siasa nchi kwa miaka mingi zaidi

    Unadhani huyo mgombea wa CDM wa sasa ataweza kumshinda Fred Lowassa? CDM mmewapa wanaMonduli chaguo la dhihaka kwao hivyo hawana budi kumchagua Fred
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna tena namna ya kuizuia CHADEMA kuchukua nchi. Ila wakijirekebisha katika hili, watadumu kwenye siasa nchi kwa miaka mingi zaidi

    Nimefumguka vya kutosha mkuu, majimbo yana wenyewe na sio pipi kwamba wanajigawia wanavyotaka
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna tena namna ya kuizuia CHADEMA kuchukua nchi. Ila wakijirekebisha katika hili, watadumu kwenye siasa nchi kwa miaka mingi zaidi

    Wasalaam wanaJF, Leo ni siku ya Jumapili, naamini watu wengi mko katika mapumziko ya wiki. Huu ni muda muafaka katika wiki ambao tunaweza kuutumia kujadili mambo ya kisiasa yaliyotokea na yanayotokea nchini kwetu katika kipindi hiki cha uchaguzi. Mosi, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Anjela na Furaha wanakimbiza mbaya, Gwaji labda nafasi ya 3
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Moshi au Arusha, kuna kampuni ya kufufua old/dead land Cruiser cars?

    Wapo Arusha, wanaitwa CAPITAL ZONE. Check page yao ya Instagram uone kazi murua.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    隆 弓 二二一 Swift code ya bank say CRDB, inabadilika kutokana na branch au ni constant kwa branch zote za CRDB? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wakuu naomba kujua validation ya XM real account inachukua muda gani
Back
Top Bottom