Recent content by mbube

  1. mbube

    Kikwete kuhudhuria mkutano wa UKAWA

    Maandalizi tayari
  2. mbube

    Kingwendu noma, ang'oa CCM Kisarawe

    namkubali sana huyu jamaa
  3. mbube

    Kikwete kuhudhuria mkutano wa UKAWA

    kipi kigeni hapo.. mbona unapanic.. kipi unaona ni kigeni..
  4. mbube

    Kikwete kuhudhuria mkutano wa UKAWA

    Niwatonye rais anatarajiwa kuhudhuria moja ya mikutano mikubwa kabisa ya ukawa hivi karibuni. Rais Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa Chama Tawala CCM, lakini pia kwa kofia nyingine ni rais wa Watanzania wote pasipo kubagua Chama Chochote. Mipango inakamilika na hivi karibuni rais atahudhuria...
  5. mbube

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Ni kweli.. Tatizo lake anadhani ni much know sana
  6. mbube

    Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

    hakuna anayeiondoa CCM madarakani, CCM imejiondoa yenyewe rasmi Watanzania wenzangu Sote ni mashahidi wa wazi kwenye zoezi ambalo CCM wamelifanya kumsaka mgombea wake kwenye mnyukano wa Urais. kwa wazi wazi CCM wameonyesha ukomavu wa hujuma, Ubabe na uchakachuaji uliopitiliza kwenye zoezi...
  7. mbube

    Hakuna anayeiondoa CCM madarakani, CCM imekwisha jiondoa yenyewe rasmi

    hakuna anayeiondoa CCM madarakani, CCM imejiondoa yenyewe rasmi Watanzania wenzangu Sote ni mashahidi wa wazi kwenye zoezi ambalo CCM wamelifanya kumsaka mgombea wake kwenye mnyukano wa Urais. kwa wazi wazi CCM wameonyesha ukomavu wa hujuma, Ubabe na uchakachuaji uliopitiliza kwenye zoezi...
  8. mbube

    Hasira za Gwajima zimetokana na uongozi wa hovyo wa Serikali

    Mpango kaBambe wa KUMMALIZA askofu GWAJIMA.. HUU HAPA..! Ndugu Watanzania, Wazalendo, raia wa nchi yetu huru. Kama ni kukiuka taratibu za kazi yangu, NAZIKIUKA na sijutii kwa hili. Askofu Gwajima ana watu wengi, kila sekta ya nchi hii kuanzia wapishi wa rais, wafanyakazi wa rais, watu...
  9. mbube

    Gwajima akimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu

  10. mbube

    Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

    Iapize nafsi yako kwamba UTASOMA HADI MWISHO…….. Mpango kamambe wa KUMMALIZA askofu GWAJIMA.. HUU HAPA..! Ndugu Watanzania, Wazalendo, raia wa nchi yetu huru. Kama ni kukiuka taratibu za kazi yangu, NAZIKIUKA na sijutii kwa hili. Askofu Gwajima ana watu wengi, kila sekta ya nchi...
  11. mbube

    Gwajima akimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu

    Iapize nafsi yako kwamba UTASOMA HADI MWISHO…….. Mpango kamambe wa KUMMALIZA askofu GWAJIMA.. HUU HAPA..! Ndugu Watanzania, Wazalendo, raia wa nchi yetu huru. Kama ni kukiuka taratibu za kazi yangu, NAZIKIUKA na sijutii kwa hili. Askofu Gwajima ana watu wengi, kila sekta ya nchi hii kuanzia...
  12. mbube

    Wakristo wasilalamike kwani mahakama za kawaida zinatumia sheria za kikristo (canon court)

    Mie NASEMA maneno Kama haya Ndiyo yanayo tibua zaidi Watanzania.. Kwamba uletewe Mahakama ambayo haimtambui Mke linapokuja suala la mirathi.. Embu nambie Nani unadhani awe mrithi Mume akifariki.. Tell me
  13. mbube

    TIGO mlipeni Gwajima

    Kwani mleta maada kaongelea eneo
  14. mbube

    Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

    Kila siku .. Kila siku.. "Nitafanya nitafanya..'" Unadhani maamuzi Magumu MCHEZO..! 1: ukiamua kujitoa CDM.. Utaendapi... ?!,. ADC?!? Ambao wameanza kutimuana, Ccm ishawatupia kipande Cha mfupa wamechakazana majuzi, utakuja TADEA!?, CUF?!(UKAWA).. Au utaendapi Mwenye muchknow Wetu.. 2...
Back
Top Bottom