Recent content by Mboyzia

  1. M

    Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?

    UNAPOSIFIA CHUO CHAKO ANGALIA NA KOZI UNAYOSOMA SIO UNAMALIZA UNAENDA SUGUA BENCH KITAAAAAAAAAAAAH :shut-mouth:
  2. M

    Vurugu za Masasi: Upotoshaji wa vyombo vya habari, ukweli ni huu hapa...

    hiyo gesi ingepatkana tarime wasingekuwa na jeuri ya kuipeleka kokote
  3. M

    Mimi na BVM bhaasiii..!! Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa

    kozi moja isikufanye ubadlishe chuo kaka cha msingi ni kujituma na kuomba ushauri kwa waliokutangulia jinsi ya kusoma antomy kwa ata mimi nasoma engineering nilikuwa nashndwa kusoma biochemistry baada ya kuonana na watu walionitangulia sasa nasoma kwa uzuri kaka
  4. M

    Kwa wana sua end of semister itakuwa 1/03/2013

    nimetupia taarifa iyo kwasababu bado haijaweka kwenye ubao na imenaswa na watu wa chache
  5. M

    Kwa wana sua end of semister itakuwa 1/03/2013

    KWA WANA SUA INABIDI TUMALIZE SEMISTER 1, 1/03/2013 :israel::israel:
  6. M

    Msiba SUA

    yatupasa kukumbuka kwamba si sote niwa mwenyezi mungu na malejesho yetu ni huko so tujipange
  7. M

    Maajabu ya first year muhas

    wangekuwa na matokeo safi kuliko wengine wasingekuwa hapo wasikutishe we komaa unasifia shule wakat matokeo yako mabovu ni ujinga mchafu
  8. M

    Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    mbona udom mko porini pesa inaisha vp mpaka wanafanya biashara ya ngono??????????
  9. M

    Ushauri wa kozi za kusoma zenye market hapa bongo

    kwa waliosoma soma sayansi kozi nzuri bio processing and post harvesting engineering sua
  10. M

    Hii ni aibu UDOM

    imejengwa msimu wa shule za ndo maana mambo yao hayaelewek ka shule za kata
Back
Top Bottom