Recent content by Mboya Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Khaaa, mtu una GPA tamu hivyo halafu unasotea mshahara wa TGS!!! Ebu ingia ajira portal jisajili huko ukapambane kwenye usahili nafasi zikitoka. Hilo nalo ni lakuelekezwa!! Tena kwa assistant lecturer competition huwa siyo kubwa kama tutorial assistant plus una experience in pedagogical field.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtu wa proposal

    Kilimo nipo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajali daraja la Tanzanite

    [emoji28][emoji38]eti kundi la wahuni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

    Hata wasingekula huo wali, ni kawaida sana mtu mmoja kufa miongoni mwa watu 200 kwa mwaka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Wakati unamtafuta huyo mtoto mbona hukumuita aje akusaidie?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Bei ya bidhaa inategemea na location inapouzia dada, usitake kubisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Peps mbili kwa bei ya jumla ndo ziuzwe 6,000 !!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Daah, kweli hapa duniani kuna kuishi na kusindikiza watu kuishi
Back
Top Bottom