Recent content by Mbotepote

  1. M

    JamiiForums Tanzania Captain Phillips (2013): Filamu ya Tukio la kweli inayokufanya uwajue vizuri Maharamia wa Kisomali

    Nimeiona kwanza siamini kuwa hii ni kazi yake ya kwanza kwa jinsi alivyofanya mle ingawa mm mwenyewe ni mwalimu wa kazi kama ile tena nafunza mtu mpya kufanya kazi mpya kama kweli basi zile element 8 zinazo muongoza msanii huyu kasema zote na anajua kuzifanyia kazi, Mara yangu ya kwanza kuona...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Kama kweli haya ila ninamashaka kuwa hizo ni! shaka zako na si malengo yao, tujaribu kutafuta hoja za msingi na si kuzusha fikra zetu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujua haya nikagundua kwamba kumbe CHADEMA itashinda kwa kishindo 2015

    Du huu ni msiba mkubwa sana, kwa hesabu hizi maana yake sisiem mshindi kwani bado kasahau kufanya tafiti moja pale kwa asilimia file pia angeweka idadi ya wapiga kura huwa wengi WA kundi gani pale la vijana au wazee? Naamini kama atafanya Hilo katangaza na Mimi kuwa katika kundi la 67% huwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rage-achunguzwe na apelekwe mahakamani kwa rushwa na matumizi mabaya ya madaraka

    Unatakiwa kujua Okwi alisajiriwa lini na nani, mkataba wake ulikuwa wa muda gani na wakati anauzwa kwa mkopo alibakisha muda gani kuwa huru, na je wakati huo alikubali kuongeza muda wa kuitumikia simba? Hivi vyote ni vya msingi kujiridhisha kabla hujatoa hukumu bandia kama yako najua mko wengi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rage-achunguzwe na apelekwe mahakamani kwa rushwa na matumizi mabaya ya madaraka

    Hukumbuki vizuri au labda umeadithiwa, vibaya maana miaka imeenda sana sijui ulikuwa na umri gani? Usimuhukumu mtu kwa dhana jiridhishe mwenyewe hata mchakato wa Okwi kuuzwa nadhani hauujui
  6. M

    JamiiForums Tanzania Re: Nyumba inauzwa Mwananyamala

    Nyumba ni nzuri ya kibiashara kayumba 20, iko katika mazingira mazuri, kwa sasa imepangishwa . Bei ni Tshs 370 Milioni ipo maeneo ya mwananyamala oilcom Tuwasiliane 07153 900071
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rage-achunguzwe na apelekwe mahakamani kwa rushwa na matumizi mabaya ya madaraka

    Nadhani huna uhakika na wala hujui chanzo cha kuuzwa Okwi kwa mkopo ungehoji ilo kwanza alafu ushutumu, ila pia ukisema mwizi wa asili unamaana gani ebu elezea ili uwe na mashiko maana rage haongozi simba tu ni kiongozi sehemu nyingine vipi nako kaiba? Maana mjadala asili haachi asili au vipi...
Back
Top Bottom