Hello Wadau wa Jamii Forum,
Natumai mko poa, ningependa kufahamu kwa yeyote anayefahamu ni sehemu ambayo naweza shiriki YOGA.
So far nimepata moja amabayo iko Haile Selassie. Nahitaji machaguo kadhaa kabla sijafanya maamuzi
kwa yeyote mwenye kufahamu ama mwenye uzoefu na YOGA tafadhali...
Pia kama wewe ni mwanafunzi kuna option ya kilipia as a student ina cost 3500Tsh per mwezi ambayo itadumu kwa muda wa miaka 4. Lakini utatakiwa ku renew kila mwaka kwa ku uplod same Docs (picha ya kitambulisho na taarifa watakazo kuuliza)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.