Heshima Mbele kwa Wadau na wachangiaji woote wa JF, nimekuwa nikifuatilia kwa kipindi kirefua sana forum hii na michango na post mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu, nyingi zikiwa za kuelimisha jamii juu ya yale yanayoendelea TZ, Africa na Dunia kwa ujumla, Hongereni sana kwa kazi hii...