Hakuna 99 wala below ya 60, maenyezi mungu katuumba kua na tamaa ya kuipenda dunia kuliko akhera ingawa kwenye vitabu vya dini tunaambiwa akhera ni bora zaid kuliko dunia lakin hakuna anapataka. Kwahiyo ipo hivi kila umli unaofika unaona ulipotoka si parefu yani unaona umezaliwa juzi tu hata...
Acha kuwa na akili ya kijinga sio kilakitu mpaka utumie hesabu za kiuchumi kitu unachojisahau parestina ndio taifa pekee halijapata uhuru mpaka hii Leo imebadilika tu mbinu ya kulitawala kwahiyo hamas ni wapigania Uhuru kwahiyo unapopigania Uhuru upo tayar kwa chochote mpaka upate Uhuru wako ww...
Acha kutuambukiza ujinga wako sadam na na Libya lini walitengeneza silaha ? Watu wanaleta mdomo kwa kutegemea silaha za kununua unategemea nn halafu wanaokuuzia ndege vita ndio hao hao unataka kupigana nao ,inaonesha unaandika kwa mihemko au chuki ya kupigwa Isreal ukizan kapigwa mkristo mwenzio...
Hana akili huyo ,Iran hajalenga raia kalenga kambi za jeshi na Isreal Wana sera yao ya kuficha madhara wanaposhambuliwa ili waonekane wao Bora anategemea Nani ataingia kambi hizo za jeshi na kupiga picha ili aine yeye aliyekuwepo huko nanjilinji ,Iran level nyengine ukitaka nchi 10 bora kwa...
Huna unalolijua wee , Sasa Sadam ufananishe na Iran unaakilisawasawa kwel wee!! Sadam alikua anaunda silaha gani huko Iraq? Yani anataka vita anategemea pesa eti anunue silaha kwa wazungu
Si kwel madhara makubwa sana Ila vyombo vya magharibi vinajitahid kuficha taarifa mbaya kwa sababu kuu mbili moja haibu kwao pamoja na Isreal ya pili kuipa demand Iran siraha zake nchi nyingi zitataka kununua na wao soko kushuka lakin usikubal kua mjinga eti hakuna madhara ,jaribu kufikilia kule...
inajulikana kwa watu wasio kua na akili ya kumbambanua mfadhili wa ugaidi marekani Iran maadui zake anaopambana nao kila cku daesh , alqaida ambao ndio wanajulikana duniani kote vikundi vya kigaidi lakin kule Syria ndio vinafadhiliwa na marekani je unaweza kutuambia IRAN inafadhil kikundi gani...
huna akili we , uislamu na ukatoliki wapi na hauna ata kiakili japo kidogo cha kuchunguza misingi ya hizi dini mbili!! ibada ya SANAMU na uislamu wapi na wapi wakati ukatoliki ukiingia tu unakutana na SANAMU ya bikira Maria, ukatoliki umeanzishwa roma ulaya uislamu middle East na katika history...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.