Naona mashekh wamekujia juu, niungane na wewe tunapaswa kuheshimiana. Katiba inaruhusu watu kuabudu ilimradi wasivunje Sheria za Nchi. Tusiingize Imani kwenye serikali tutaumia. Swala la ajira watu huitwa kwenye interview, Si kweli kwamba wanaoajiriwa ni wakristo tu. Wapo waislam wengi...
Yesu akasema, kimwingiacho mtu hakimtii inajisi Bali kimtokacho. Sasa pombe ukinywa inazalisha. Mawazo mabaya, kuzini, kutokujiheshimu, matusi n.k. Paulo alimwagiza Timotheo anywe mvinyo si kwa ajili ya kujifurahisha ila kujitibu tumbo. Hayo yalikua maagizo ya Paul kwa Timotheo na si Maagizo ya...
Lissu Hana jipya abaki ndani. Sisi hatuwezi kutukanwa na Lissu kisa tumesomea ualimu. Yaani ufundishwe na walimu halafu uwatukane, eti tamaa zako za kuwa Rais. Hapana, tunataka heshima. Nchi hii imeongozwa na walimu Leo Lissu anasema walimu ni nini?
Hii ndio njia sahihi ya kuzuia Lissu, sisi tunayemfahamu, mkimuacha aendelee kuhutubia. Hakuna kura mtapata. Huyu anauwezo wa kugeuza uongo kuwa ukweli na watu wakafuata.
Bwana Yesu asifiwe, tunapojadili tuangalie tusikufuru. Hii mada ni nzuri hasa kwa anayehitaji kujua. Mimi ni miongoni mwa watu waliopinga sana jambo hili na nikaamua kulifanyia utafiti. Kushikiwa na Roho mtakatifu mpaka unene kwa lugha mpya si jambo jepesi.
1: usiwe na dhambi yeyote ndipo Roho...
Ukristo ni ufuasi wa kristo, yaani matendo na maneno ya kristo. Dini ni mwongozo wa binadamu kumtafuta Mungu. Yesu alisema " mimi ndimi njia ya kweli na uzima, mtu hawezi kufika mbinguni bila Mimi". Dini kwa lugha ya kiarabu ni NJIA. Sasa kama Yesu alishatuonyesha njia yakwenda mbinguni ni...
Lissu si kiongozi mzuri ila ni jamaa moja anayeweza kufanya uongo kuwa ukweli. Lissu hafai kusikilizwa, nyie endeleeni kumwacha aendelee na ushawishi muone kama hata haribu uchaguzi. Ifike wakati hii mikutano ya Lissu isimamishwe. Aitwe yafanyike marekebisho machache uchaguzi ufanyike. Huyu ni...
Hivi kunauwezekano kweli wakipata tume huru kwa muda uliobaki? Yangefanyika marekebisho machache hasa kwenye wakurugenzi na nyadhifa za juu za tume. Lakini kuunda upya tume ni uongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.