Recent content by Mboji marwa mahende

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mazingaombwe ya Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania!

    tume yetu sio huru ingekuwa huru kusingekuwepo na ucheleshwaji wa matokeo palle ambapo inasadika kuwa uwezekano wa upizani kucukuwa ushindi ni mkubwa matokeo yanacheleweshwa ,wakati mwingine msimamizi wa uchaguzi anatoa matokeo wakati mguu mmoja uko kwenye difender kuna uhuru gani hapo wa tume...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mazingaombwe ya Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania!

    tz hatuna tume huru uhuru wa tume yetu upo kwa rais anayekuwa madalakani maana ndiye anayetawala kila kitu na ndiye anayeratibu kila kitu tume imebaki kama kivuli tu haina uhuru wowote ule
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu hapa Mungu amekataza mapenzi kinyume na maumbile [ulaji tigo]

    asante Mkuu kwa kutukumbusha vyema sana Mungu akupe nguvu za kuperuzi zaidi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu aweza kuwa Mwanasheria bora wa Afrika?

    Kwa uwezo alionao anaweza akawa top 3 in africa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Rufiji apigwa risasi na kufariki dunia

    inabidi tuachane na habari za bashite tufanye mambo mengine maana huyo ana wa kumbeba
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Rufiji apigwa risasi na kufariki dunia

    poleni sana wanarufuji kwa kumpoteza mpendwa wenu R I P
  7. M

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    mi nahitaji mawasiliano na juma a k a mchina shalobalo contact yangu ni 0744205199 (charles Marwa nipo mwanza email. lucasrichard375@gmail.com
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    hatujui huyu jamaa analipeleka wapi taifa letu maana hizi kauli zake zinazihilisha wazi kuwa amechoka kuongoza nchi kabisaaaa
Back
Top Bottom