Mpangilio wa maduka kwaajili ya kuwafanya wananchi wasikusanyike sehem moja ni rahisi wala sio kusambaza bidhaa moja huku moja kule, hapana, Jiji la Dar linaweza kuwa na Center kama 3 hivi za maduka, na sio katikati ya mji, moja mahali fulani Barabara ya kilwa, Moja barabara ya morogoro, na...