Recent content by Mbogo_beichee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yesu atakuwa anawaambia nani maneno haya, tafadhali ufafanuzi mwenye Uelewa zaidi

    Kufanya miujiza kunaweza kuwezeshwa kwa njia kuu mbili. Nazo ni Nguvu ya Mungu au ya shetani. Japo kuna uponyaji mwingine unaweza kutumia njia ya kujifunza na kujaribu madawa ya asili na ukamponya mtu. Ila kwa miujiza hii ya papo kwa papo mara nyingi ni Mungu au shetani. Sasa kama mchungaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwana FA anaogopeka, hasemwi na anaonekana ni kijana aliyefanikiwa! Wasanii wengine kuwa CCM inaonekana nongwa?

    Nahisi kwa sababu 1. Ni msomi sana huyu jamaa. 2. Hana skendo za usañii kabla na hata baada ya kupata ubunge. 3. Status yake ya matendo na maneno ipo clean 4. Hatafut attention za watu Nafikiri yapo mamb mengine mengi tuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Kila tatizo mim naamini lina chanzo chake. Kama mwanaume anatelekeza mtoto mmoja kisha anaenda kutunza mtot mwingine. Hapo tatizo linaonekana ni mama mtoto. Kama mwanaume kuna muda anatunza mtoto na muda mwingine anagoma basi inshu si yeye wala mtoto. Bali ni mama wa mtot. Wakati wakina mama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kufunga kanisa kisa mtu mmoja sio maamuzi sahihi. Na ni ukosefu wa haki ya kuabudu kwa waumini wengine

    TANZANIANS IF YOU CAN'T SEE AND UNDERSTAND THE ATTENTION DIVERSION PLOTTED THEN YOU'D BE HARSHLY CONTROLLED FOREVER. Kama kijana wa kisasa hutakiwi kuacha kuona hili. Asanteni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Shukrani sana kwa ushauri?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Sawa nikianza sasa tazingatia pia hiyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Asante ngoja nifatilie hicho kitegeo cha nzi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Naomba unisaidie dawa gani za kupuliza Nataka nianze kukuza matunda upya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Kwa sasa nimekubali hasara. Nataka nipruni matunda yote kisha nimwagilizie upya na kupuliza dawa bora zaidi. Naomb maelekezo zaidi ya hizo dawa na namna ya upuliziaji kwa muda (mara ngap kwa week).
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Ooh maybe ni kwa sababu ya barid. Maana barid ipo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Hiyo ni Sinta F1 sio za kienyeji. Ni mbegu bora
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Bwana shamb hawapatikani kirahis nilipo. Ni polin sana. Mabwana shamba weng wapo mjin. Maduka ya pembejeo nilienda mwaka jana wakanipa sum ila tatito lipo palepale
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

    Kwanini ushauri hua hauombwi wakati mnataka kujiunga. Mnakuja mkishatapeliwa?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Approx ni kama 30,000 hiv kwa mpulizo mmoja kila kitu wanafanya uliowaajili
Back
Top Bottom