Recent content by mbogo rusaku

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bado Nina imani na nchi yangu!

    Bado Nina imani na nchi yangu Tanzania,hata nilale njaa nakupenda nchi yangu na iman nguzo za Aman iliyopo Tanzania hazitaanguka kirahis labda kwa kuvunja kiapo tulichokula nakupenda sana Tanzania,mungu ibariki Tanzania,mungu ibariki Africa! Amina
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafta mchumba

    Asante kaka
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafta mchumba

    Naitwa john Rusaku Nina miaka 27, Napenda sana maisha ya ndoa,mwenyezi mungu alinijalia nikapata kazi serikalini,ila wanawake wote walionipenda walikuja wakiwa kimasilahi maana walipofika,walijua wanakuja kuja kuvuna mpunga hatimae wanakuta hali tete, Sasa nimejaribu ishi na wanawake zaidi ya...
Back
Top Bottom