Bado Nina imani na nchi yangu!

Bado Nina imani na nchi yangu!

mbogo rusaku

New Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
3
Reaction score
1
Bado Nina imani na nchi yangu Tanzania,hata nilale njaa nakupenda nchi yangu na iman nguzo za Aman iliyopo Tanzania hazitaanguka kirahis labda kwa kuvunja kiapo tulichokula nakupenda sana Tanzania,mungu ibariki Tanzania,mungu ibariki Africa! Amina
fa1939fba3ecbdc2cc5bfddb7129c62e.jpg
 
Hakuna mtu ambaye haipendi nchi yake humu ndani, wote tunaipenda na tunaiombea mema dhidi ya waharibifu.


Ila kuna tofauti kati ya kuipenda nchi na kuipenda serikali. Kuichukia au kuipenda nchi ni tofauti kabisa na kuichukia au kuipenda Serikali.

Kuna wakati kuipenda Serikali iliyopo madarakani sio uzalendo, na kuna wakati kuichukia Serikali iliyopo madarakani ni uzalendo.
 
Back
Top Bottom