Ndugu,kwa namna ambavyo unazungumza inaonekana umeguswa na hili la kuachiwa huru kwa nguza vikingi pole sana ,ila umekosa busara kidogo kwani unatumia lugha kali sana ambayo haiwez kujenga hata kama ina haki,kwangu mm lawama unazomtupia rais wa jamhuri kuhusu ubomoaji wa nyumba hasa ukihusisha...
BABA LOVENESS,skia kk kwa apo alipofikia hakuna njia ya kuwaweka sawa na huyo mkeo ,mm naomba tumia roho ya kiume mpige chini hangaika na mengine broo maisha no magumu,mungu akuongoze kaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.