Ndugu,kwa namna ambavyo unazungumza inaonekana umeguswa na hili la kuachiwa huru kwa nguza vikingi pole sana ,ila umekosa busara kidogo kwani unatumia lugha kali sana ambayo haiwez kujenga hata kama ina haki,kwangu mm lawama unazomtupia rais wa jamhuri kuhusu ubomoaji wa nyumba hasa ukihusisha tukio hili na la kuachiwa huru babu seya.Naomba niongeree kuhusu hili bomoa bomoa,katika hili rais amefanya kwa utashi mzur ila hilo kwa mtizamo wangu tu hasa nikifanya reference ya nchi ya china ambapo rais wa kipind icho ikiwa kama mwanaharakati alianzisha mfumo wa ukuzaji uchumi na hiyo ilikuwa ni vita kubwa sana kwani kwa record ndogo tu ,huyu jamaa aliu zaidi ya waponzani elfu moja ,akanzisha programs ya kilimo ambapo aliwaambia wazazi wazae watoto kadri wawezavyo na wakati huo huo alikuwa anajua chakula hamna watoto walikufa kwa njaa na wazee pia nao walifariki kwa kifupi yalikuwa ni maafa,ila lengo lake lilikuwa kuongeza population kwa ajili ya nguvu kaz,raia walilaano sana ila kutoka miaka ya 1940 mpaka 1950, china ilipata nguvu kaz na kilimo kikaanza kushamili na ndo maana mpak leo hii china imesimama,NARUDI KWA RAIS MAGUFURI,hili analolifanya lina maumivu na inawezekana likawa halina manufaa kwa kizazi chetu ila kwa watoto zetyu likawa na manufaa.HAKUNA NCHI ILIYOFANIKIWA BILA KUTUMIA MFUMO WA UDIKITETA NA KAMA IPO NAOMBA REFERENCE PLS.