Recent content by Mbobo

 1. Mbobo

  Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, Vipi wenzangu haya mnayapata pia?

  Na huo ndio uungwana maana wangapi wameshindwa kukusaidia ila yeye amejitoa, uko sahihi sana
 2. Mbobo

  Simba wamecheza chini ya kiwango, kuna kitu

  Kukaa bila kucheza mechi ndio tatizo kubwa kama umewai kucheza soka utaelewa ilo.na walituzidi mbinu za uharaka kufika kwenye nox letu Gomez kila muda alikuwa anapiga kelele kuwa twende kwenye box lao ila wapi, tujipange mechi ijayo
 3. Mbobo

  FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

  Mpira ndio ulivyo, tumefungwa magoli ya kimipango sana. Tujitajidi Taifa na mechi ipigwe saa kumi jioni
 4. Mbobo

  Rushwa na uozo soka la wanawake ,TFF mbona hampo makini?

  Mapema sana Mkuu.
 5. Mbobo

  Rushwa na uozo soka la wanawake ,TFF mbona hampo makini?

  Umezunguka, iyo yanga umeiweka kufichaficha apo unaituhumu simba Queens kupitia Fatma Kama ushahidi upo wasilisheni kwenye mamlakw husika, ila yanga princess na simba queens wako bora sana kuzidi izo timu nyingine ata rushwa ikitolewa haisaidii
 6. Mbobo

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Unamuaminije mtu aisee[emoji23][emoji23]
 7. Mbobo

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Tusiwe na mawazo hasi chief Nimewashirikisha ili kama mtu ana bet ajue aamue njia yangu, huwa nabetia timu za uhakika zenye odd chache kama unaona apo .. Na uwezekano wa kushinda ni mkubwa
 8. Mbobo

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Hapana boss na wala sina mpango huo pia nitaweka niliyopigwa. Mara nyingi naweka timu za uhakika zenye odd chache
 9. Mbobo

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Wazee wezangu wa ku bet uzi udumu milele, huwa napita sana apa bila kuchangia chochote Ila leo acha niweke uzoefu wangu apa, tokea nianze kubet huwa naweka option moja tu ya win kupitia M bet. kwa stake ya 2000 mpaka 5000, apa chini ni baadhi ya mikeka niliyo bahatika kushinda mbali na kupigwa...
 10. Mbobo

  Simba wamehujumiwa wazi kabisa

  Sijui ni kweli o
 11. Mbobo

  Mechi ya VPL, Kariakoo Derby | Simba SC Vs Yanga SC | Uwanja wa Mkapa Yaahirishwa

  Tff nao watu wamewai tokea asubui wanawachelewesha
 12. Mbobo

  Vijana wa Kiume badilikeni

  Hakika umenijibia. ila ushauri wa dada vijana tumeupokea.
 13. Mbobo

  Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

  Kaupiga sana aisee 95% usahihi wa pasi
 14. Mbobo

  Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

  Kwa mujibu wao bora derby kuliko kukutana na wekundu wa msimbazi
Top Bottom