Naunga mkono hoja hata mimi nashauri hivyo watanzania wamekuwa mazuzu,hakuna haja wa kuwatetea wanachi maana hawaonyeshi kujitambua kila mtu abebe msalaba wake,viongozi wa Chadema wamejithidi sana wengine wamepata vilema vya kudumu,wengine wameuwawa,wengine wamefilisiwa kwa ajili ya kutetea...
Watanzania ni mbbumbumbu kabisa hakuna sababu ya kuwasikiliza hawa wanasiasa sisi wananchi tunatakiwa tuamke tukatae wanayoyafanya maandamano tusitegemee kuasisiwa na wanasiasa tuyaanze sisi wenyewe kwa mshikamano bila fujo wanasiasa watatuelewa ma sio kukaa kimya tunalalamika lalamika
Cahdema kwenye nafasi ya katibu mkuu ni kama ipo wazi,viatu vya Dr Slaa vimempwaya bado nafasi haiitendei haki,umoja wa vijana wa chama nayo haijapata mtu wa kuisimamia kama ilivyukuwa wakati wa Heche,kuondoka kwa Slaa kuliaribu kila kitu chama kikakosa mvuto na mwelekeo na hali hii huu uchaguzi...
Nilishindwa kuelewa kwanini Rweyemamu na Mzee Ulimwengu walisinzia kiasi kile yule mama akaharibu ile shule kiasi kile,wajipange upya warudishe hadhi ya shule
Safi sana yule mama aliyekuwepo aliiharibu sana ile shule shule ilikosa sifa wakati ilikuwa nzuri sana,waalimu wote wazuri walitimka wakenda shule mbali mbali uongozi ukawa umelala,wazazi wakaamisha watoto uongozi kimyaaaa leo shule ipo hoi ndio wanashtuka,sasa mjipange kutafuta wale waalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.