Hii imekaa sawa..nadhan tuliokuwa serious tuunde group la WhatsApp kuweza kujadiri kwa ukaribu na umakin..nadhan kuna wengine wana mawazo chanya ila hawana acces ya mdahalo kama huu..ni wazo tuu
Mimi binafsi naona PSRS kuna urasimu wa hali ya juu..huwez ukaset kwamba kazi ya uhasibu lazima mtuu awe na CPA wakati watu wapo wenye uwezo wa utendaji wa kazi Hali ya juu..CPA haifanyi kazi..kazi za uhasibu na procurement ziwe neutral..sio kila mtuu akimalza chuo ana uwezo au mdaa wa kufanya...
Za asubuh..natafta tenda ya ujenzi..nina krasha inayozalisha aina zote za kokoto na dust(vumbi) ikiwemo na huduma za usafirishaji kwa tipper zenye uwezo wa kubeba 20CBM,apart from that nina kila aina ya machine za kujenga na kutindua barabara na low bed za kusafirisha hivyo vifaa kama excavator...
Ripoti yenyewe bado imefichwa, Prof. ASAD pekee ndo aliyeonyesha ethics za auditing procedures based on independent basis, kazi ya ukaguzi haitakiwi kuingiliwa ata kidogoo
Sijajua picha inavyosema,mm nataka kabla ya mwez wa sita rasimali watu zipewe ufumbuzi,taasisi zisizo na maana kama TASAAC ziondolewe watu wanawekana hawajui kazi ,watu wa kujua kazi na kuweza kaz wako mitaani wanaambiwa wajiajiri..anaesema ivyo yuko anapata mshahara na posho za juu kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.