Recent content by Mbishi 4 real

  1. M

    Ilikuwaje ukaibiwa simu??

    Hapana sio uzembe, niliweka charge kwenye saloon ya kiume ya mtoto wa mama yangu mkubwa kisha nikatoka kdg kama nusu saa ile narudi nakuta waya wa charge unanining'inia peke yake na yule ndugu yangu akanambia yeye alikua busy na kunyoa mtu sasa kuna kijana aliingia anahisi yeye ndo amechukua kwa...
  2. M

    Ilikuwaje ukaibiwa simu??

    Niliwahi ibiwa simu mara moja tu kwenye maisha yangu yote na haiku ya gharama, tangu kipindi hiko niko makini vibaya mno.
  3. M

    Tukikutana msibani usijifanye unanijua sana na kupeleleza maisha yangu

    Kuna hii tabia ya mtu kujifanya anakujua sana na kuanza kujifanya anakuuliza ooh siku hizi uko unafanya issue gani au unaishi wapi and stuffs like that. Kama ulihitaji kujua kwamba nipo wapi au nafanya issue gani kwasasa ya kuingiza kipato ungekua unanipigia simu au tunawasiliana kabla hata ya...
  4. M

    Hii ndio VPN na faida zake. Je, ina msaada wowote kwa Taifa?

    Zipo za bure na za kulipia kwahiyo the choice is yours.
  5. M

    KERO Hakuna usalama kuacha salio kwenye simu

    Kumbe matajiri wanapenda vitu vibovu mana eyateli internet yao speed ni mbovu kabisa
  6. M

    Una mtazamo gani juu ya ongezeko la manabii hapa nchini?

    Kumekua na wimbi kubwa la watu wanaojiita manabii likiongezeka kila kukicha na manabii wote hao wameanzisha makanisa yao. Manabii hawa wamekua ni wengi kuliko hata wale ambao wametajwa kwenye biblia takatifu. Kwa ulewa wangu mdogo ni kwamba wale manabii wa kale ambao walitajwa kwenye biblia...
  7. M

    Msaada tutani kuhusu fomu ya mapunjo NSSF

    Ulishawahi jaza fomu ya mapunjo ?
  8. M

    Msaada tutani kuhusu fomu ya mapunjo NSSF

    Habari Naomba kwa wenye uzoefu yeyote ambae kashawahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF anisaidie kunijuza kama kuna mzunguko wowote wa nenda rudi au hiyo fomu ya mapunjo haina mambo mengi Mana ile fomu ya madai kuna mambo ya kwenda mahakamani, kwa muajiri na bank kuchukua statement. Sasa nataka...
  9. M

    Hizi ndio gharama za kwenda kuombewa na Nabii mmoja aliyepo Buza

    Huyo jamaa ni tapeli wa kutupa Huyo jamaa amemtapeli mama yangu mzazi Tshs 100,000 ambayo angeweza hata kununua chakula kikamsogeza kwa siku kadhaa. Wanaopigwa pale wengi ni wanawake Mwanzoni bimkubwa kabla hajaenda nilimpa tahadhari kwamba awe makini mana mjini siku hizi matapeli ni wengi...
  10. M

    EX hapokei simu na hatujaachana kwa ugomvi mkubwa

    What if huyo ex wako asingekua anafanya kazi kwenye hiyo ofisi je usingepata kabisa huduma hapo ofisini ? We utakua una mambo yako mengine mbali na kuhitaji huduma hapo ofisini.
Back
Top Bottom