Recent content by Mbimbinho

  1. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

    Yanga wana viongozi wenye akili, sio kama mangungo na wahuni wenzie
  2. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Mangungu na Ahmed Ally watupishe Simba

    Mbona huwa mnafurahia lakini??
  3. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona kwenye jezi za Simba kama ni kweli, Yanga wapo level nyingine kabisa

    Dah, we jamaa hupendi amani kabisa
  4. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

    We bibi acha unafiki. Kwa Fei si ulisema aachwe aende anakotaka?? Naye Kibu aachwe, asipangiwe
  5. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Jezi rasmi za Simba msimu wa 2024/25

    Hii Sanda itaathiri sana mauzo ya hizi jezi msimu huu
  6. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Scientifically, kama wewe ni wa aina hii tambua wewe ni mchawi

    Sifa kuu ya kwanza ya mchawi ni roho mbaya, so mleta maada still yuko sahihi
  7. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

    Kwa hiyo ni wewe sio rafiki yako?? Muwage wawazi jamani
  8. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

    Naona mmeenda kucheza rede mwaka huu, na ole wenu msifike fainali ya kuonesha chupi aka rede
  9. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-1 Tanzania Prison | NBC PL | Azam Complex, Chamazi | 28/05/2024

    Diarra hayuko golini leo
  10. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

    Labda wauibe huo ushindi wa goli nyingi
  11. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

    Tutafurahi tukishafukia
  12. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  13. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa ghorofa 1 hatua kwa hatua na makisio ya vifaa

    Nondo huwa hazikadiliwi, zege huwa haikadiliwi, kila kitu ni hesabu. Tafuta Engineer akufanyie structural design uwe safe.
  14. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Waigizaji wa Tanzania wana la kujifunza kwenye tamthilia ya Mpali

    Kwamba hakuna aliyemuona Benson Logic?? Jamaa ananikeraga sana hadi napenda niwe naangalia scene zake tu. Yeye na dada yake Shupiwe, aah ile familia hatari
Back
Top Bottom