Recent content by mbilikimo

  1. M

    Misssssssssss....

    Safi sana mambo ya kuona nyuchi siyo powa tunaona kwa wake zetu
  2. M

    Prof. Hamza Njozi amuomba rais Kikwete amteue kuwa mbunge wa bunge la JMT

    Jk ampe tuone hayo aliyokua nayo maana mengi yamepita walioko mjengoni kazi kutetana na kulumbana badala ya kuijenga nnchi. Hawasemi watu wao wamewatuma nini. Jk chonde mpe Prof
  3. M

    Ajali ya basi la adventure: Kigoma-dar es salam muda huu

    Mwenyezimungu akupeni afya yenu enyi majeruhi. Ajali haitazami eti barabara iko safi au mbaya wapo aliokutwa na insidence hizo kwa kufuatwa na gari vyumbani kwao kwa kuacha njia POLENI SANA GET WELL SOON
  4. M

    Kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nani atawajibika kwa madhara yaliyotokea?

    kuna tuislamu tulisha wahi kuomba baraza lifumuliwe kwakuwa limechoka. Walikuwa wakidai kukatiwa maksi za wototo wao na kutotoa alama sawa katika masomo ya islamic na bible. ikiwa D katika bible inaanzia 21 basi islamic ilianzia 41 walikuwa wanafeli sana. Sasa mimi natuunga mkono kwa hili la...
  5. M

    Muuaji wa Padri Evarist Mushi Akamatwa kwa msaada wa picha iliyochorwa na FBI

    Hivi tunako elekea wapi? Mchoro wa picha kweli waweza mfanya mtanzania leo adhalilishwe at ni muuaji wa kiongozi wa dini!! Kweli mbele ya Mungu tuwe na majibu. Udhoefu wangu unaonesha kuwa watu wengi wamebeba mizigo ya watu.
  6. M

    Majibu kwa Hoja ya Uchochezi ya Ustaadh Ilunga: Serikali inamuogopa?

    Acheni uhuni hivi lipi Shekh kaeleza halina ushahidi? mnatakiwa kujuwa historia ya nchi hii then ucheki namna wakristo wanavyo watesa waislamu wapigania uhuru. kila kona wametubana na dhulma katika pande zote. Huu kweli mfumo kristo Inshu ni kuwa waislamu wanaelimika waechoka kukanyangwa time...
  7. M

    Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    Fisadi huyo
  8. M

    Waziri Mulugo azidi kuandamwa

    Si Mulugo tu issue uchaguzi waja kunajamaa baba wa Mafisadi Lowasa ataliangamiza taifa bora hata huyo Mulugo. Si mtetei lakini Lowasa ni Hatari kuliko Umeme
  9. M

    Je serikali YA KIKWETE haioni athari ya hizi ISLAMIC DVD huku Kusini kama bomu HATARI?

    This plat form is for Great thinker inaonekana fikra za kujitafutia ukweli zimepumzika na sasa mmnawategemea watu fulani wawafikirie. Just imagine jamaa hajui hizi DVD na CD kama ni ukweli au uongo. Mzungumzaji yupo hai wasikilizaji ndo hivyo umejionea ni maelfu ya watu na zimeenea nchi nzima...
  10. M

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mambo na mdadizi matokeo ya sensa mwaka 2012 yanatia shaka hebu fikiria mwaka 2002 tulikuwa 40milioni leo mwaka 2012 44 na point kwa maana hiyo kwa miaka 10 hatukuongezeka kufikia japo laki 5 yaingia akilini? Sasa njoo tathmini mwenyewe wanaozaliwa kila kukicha it is...
Back
Top Bottom