Ni kweli, inakuwa ngumu kuweka picha kwani system inatofautina kulingana na urefu wa kisima, mahitaji ya kiasi cha maji yanayotakiwa na sehemu mradi ulipo.
Ili kujua gharama ni budi nipate eneo mradi ulipo(kwa maana ya kujua masaa ya jua), kiasi cha maji utakayohitaji, na urefu wa Kisima.