Msaada kwenye biashara? Ile shule ni yake binafsi ili mtoto wako asome shuleni kwake inatakiwa 1.5m kwa mwaka, sasa anaposema msaada kwa upande wangu sielewi!
Mkuu WA TANGA naona umepotoka husipende kusikia tu unachokipenda na kukiamini, Mzee Warioba anachofanya anatimiza wajibu wake kikatiba anatoa maoni yake na kushawishi wengine kwa hoja ili wamuunge mkono na wewe kama una hoja tiririka sio unalia lia tu.
Kupitia mchakato wa katiba mpya katika bunge maalum la katiba Mungu ameongea nasi watanzania kwa kutuonyesha kuwa sita ni dikteta mkubwa ambaye hajawi kutokea Tanzania, kuwa tu mwenyekiti BMK anaonyesha umafia namna hii itakuwaje akiwa Raisi wa nchi!
Lakini pia kupitia makongamano na comment...
Mkuu Msalani, maisha bora au maendeleo hayatafutwi kwenye <EM>link</EM> bali ni hali halisi inayopaswa kuonekana kwa wananchi. Wananchi wenyewe inabidi wathibitishe kwamba sasa hivi maisha yao ni mazuri ukilinganisha na takribani miaka tisa iliyopita wakati mhe. sana anashika...
Ni Tanzania tu mtu aliyekosa uvumilivu wa kisiasa na anayejivunia elimu ya makaratasi tu bila kudhibitisha kwa vitendo ndo anaweza kupewa uwaziri kama ilivyo kwa Lameck. Siku zote naona level ya elimu yake ni tofauti kabisa na kauli na matendo yake!
Rais wetu changamoto nyingi za kiuongozi nje na ndani zinamzonga alichofanya jana ni kama kurusha jiwe gizani wakati wa ugomvi litakayempata ndo huyo huyo! lakini pia viongozi wetu wanajua watanzania walivyo waoga na wengi bado huwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo kwahiyo maonyesho hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.