Albine Marcus:Aibana CCM,aipa shavu UKAWA

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,128
Reaction score
138,165
Mwanaharakati Marcus anaibana kisawasawa CCM kuacha ubabe.Yuko katika mjadala Star TV.Anasema Ukawa kurudi bungeni ni sawa na mtu aliyejeruhiwa na mamba,leo umwambie arudi majini kupigana na mamba huyo.hivyo UKAWA imekuja ardhini(kwa wananchi) ambako mamba(Intarahamwe) hana nguvu(tumeona kwenye mdaholo)
 
No return until the orijino rasmu imechukua hatamu yake! Viva Ukawa.
Mwanaharakati Marcus anaibana kisawasawa CCM kuacha ubabe.Yuko katika mjadala Star TV.Anasema Ukawa kurudi bungeni ni sawa na mtu aliyejeruhiwa na mamba,leo umwambie arudi majini kupigana na mamba huyo.hivyo UKAWA imekuja ardhini(kwa wananchi) ambako mamba(Intarahamwe) hana nguvu(tumeona kwenye mdaholo)

No return kona zaidi m
 
This is very nice, it's high time raia wa Tanzania nao waheshimiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom