Wanawake hawakushirikishwa kabisa kwenye muswada huo? Hiyo ni dalili tosha kuwa muswada huo Utakuwa ni unyanyasaji kwa mwanamke. Wanawake watapigwa mawe ......kwanini hawashiriki...
Hivi hawa wanawake wa sasa wa kiislam waliosoma na kuwa na kazi nzuri, Waume zao wakifa mahakama za kadhi zitawapa mirathi kwa moja ya tatu Hata kama walichangia pakubwa pato la family? Wanawake toeni mawazo yenu kwa mahakama hii. Najua hamjashirikishwa Hata kidogo....as usual
Acha ujinga. Kama alikosea waliomfuatia walifanya nini. Ni ujinga kumlaumu mwalimu kwa umaskini wetu wa Leo. Tutapita miaka 200 ya uhuru bado tunamlaumu mwalimu.
Acha ujinga. Kama alikosea waliomfuatia walifanya nini. Ni ujinga kumlaumu mwalimu kwa umaskini wetu wa Leo. Tutapita miaka 200 ya uhuru bado tunamlaumu mwalimu.
Mimi nadhani badala ya kufikiria kuiondoa ni Burma tukajaribu kuiboresha kwanza, tuitafutie viongozi wasomi wa elimu zote dunia na akhera. Tuanzishe mfuko na kamati wa kuchangia fedha ili tuanzisha shule za kawaida na za kidini, hospitals kubwa n.k tunapoteza muda mwingi kulalamika badala ya...
Aah mdini hujambo, umeingia tayari kinara wa udini. Kumbuka vita ya kidini ikitokea Tanzania, mke wako na watoto wako watakutana na mke wangu na watoto wangu. Vita havina macho. Waislam na wakristo watakutana makambini.
By the way kwa nini rais ajaye afute bakwata?
Kwa hiyo unamaanisha ni halali uwanja uvuje kwa sababu mabati ni bei kubwa?!!!!! Common!!!!! Sikuelewi. Bei imesimama!!!international airport inavuja !!!!! Si lazima kuchangia kila kitu.
Tehe Tehe bado kuna safari ndefu kuelekea uhuru kamili wa kimaendeleo. Maendeleo yataletwa na viongozi kwa kuweka mazingira mazuri na yataletwa na wananchi kwa kufanya kazi. Upande mmoja ukilala hakuna maendeleo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.