Recent content by Mbetewa

  1. M

    JamiiForums Tanzania JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Kweli kabisa mkuu. Chilambo Dominic Pamba ilikua kama timu yake. Hapo kwenye list George Gole, Deo Mkuki, Mao Mkami(ball dancer), Juma Amir Maftah na wengine kibao wapo bench wanasubiri
  2. M

    JamiiForums Tanzania JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Mwakalebela David alikua beki wa kulia wa wana Kawekamo, wana TP Lindanda, Pamba FC ya Mwanza. Kikosi chao kilikua kama ifuatavyo; Golikipa; Paul Rwechungura Beki wa kulia(no 2): David Mwakalebela Beki wa Kushoto (no.3): Abdallah Bori Beki wa kati (no.4): George Magere Masatu Beki wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwakweli naona siku hizi hakuna muda huo. Vijana wanaraha sana. Wamerahisishiwa process kuanzia utongozaji hadi uchakataji mbususu. Tena wakati mwingine hakuna hata kutongoza. Ukipewa namba ya simu mnaanza kupanga mipango ya kudinyana!!! Hata kwenye sanaa ya muziki wa vijana wanazungumzia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Miezi sita mbona michache mkuu. Kuna demu unafukuzia kuanzia anaingia form one unakuja fanikiwa akimaliza four NB: Wanafunzi wa sekondari miaka ya zamani walikua wakubwa kwa umri na maumbo. Dont try this at home, its now punishable by law😀
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mk Mkuu, ulichakata kimasihara ndani ya nyumba yako na mkeo?! Aisee ulikua na guts kwelikweli. Ungetafuta japo Guest House ya karibu. Next time usirudie. Japo wanaume tunachepuka tujaribu kupunguza makosa tunayowafanyia wenzi wetu Huu ni mtazamo wangu wa kiutu uzima lakini. Inawezekana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Enzi hizo art ya kutongoza ndio ilikua mpango mzima. Kumfatilia demu miezi sita unatingoza ilikua ni kitu cha kawaida. Sasa kupata mechi ya kimasihara ilikua ni jambo gumu sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Heri ya Krismas Wanamasihara wote Niwashirikishe na kuwapa kisa cha kula kimasihara japo ni miaka mingi sasa imepita maana nashukuru hadi sasa kaumri ka ujana kananiaga kwa ukatili mkubwa 1996 hiyo kabda ya kuvumbuliwa simu za mkononi(au labda huku Afrika zilikua hazijatufikia). Wakati huo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

    Wee Yna2 wewe😂😂😂
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili tuzo ya Nobel katika marais 6 tuliowahi kuwa nao Tanzania?

    Magufuli alikua na rekodi mbaya sana kwenye haki za binadamu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Elifas Bisanda amemaliza kila Kitu kuhusu PT, JWTZ japo sijajua kwanini hajawataja na TISS ambako pia kuna Mapungufu kwa sasa

    Pamoja na kukubaliana na Prof lakini tatizo kubwa ni mindset ya vyombo vyote vya dola Tanzania, hasa vinavyohusika na uchunguzi wa makosa ya jinai Kutesa watuhumiwa ili waseme au waandike na ku saini kile wachunguzi/wapelelezi wanachokitaka ni dalili kua hawana weledi, maarifa wala maadili ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kununua kiwanja Kaole, Bagamoyo

    Viwanja vilivyopimwa ni rahisi kufanya uhakiki. Tena kama vinauzwa na hizo kampuni za upimaji uhakika unaongezeka. Inamaana hapo ni kama hati hazijatolewa kwa maana ya kwamba unapolipia ndipo hati inakua processed ili ikitoka iwe kwa jina lako wewe ukiwa ndio mmiliki wa kwanza Hata kama utakua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kununua kiwanja Kaole, Bagamoyo

    Uwe muangalifu na matapeli mkuu. Bagamoyo hasa maeneo ya Kilomo, Zinga, Pande, Fukayose, Kidomole na kwengine unatapeliwa mchana kweupee tena mbele ya serikali za mtaa/vijiji. Sina hakika na huko Kaole na hasa kama eneo husika lina title deed, labda inaweza ikawa rahisi kufatilia na kuhakiki...
Back
Top Bottom