Huwezi na hutakaa umpangie Shujaa Lissu cha kuzungumza au kutokuzungumza.Masilingi,Weka yale mahojiano tuone jinsi Masilingi alivyotamani ardhi ipasuke aingie humo halafu ijifunge.Weka hapa hiyo video
Kwani wewe ni lini ulisifia mazuri ya nchi yako na chama chako,(sorry kumbe hata chama huna) unataka aongelee hewani wakati wenye nchi yao walishawapiga marufuku au unajifanya umesahau maneno haya"uchaguzi umekwisha hakuna mikutano au siasa (kwa vyama vingine) hapa ni kazi tu.Kwao hakuna shida...
Naomba mnisaidie ni utaratibu gani unaotumika kumpa rais mamlaka ya kutembea na mamilioni ya fedha wanapokuwa kwenye ziara za kikazi mikoani.
Nimesema hivyo kutokana na fedha zilizokuwa zinapeana kwenye msafara wa rais.Kwa mfano kule Njombe alitoa mil.5 yule babu wa jogooo nk.Sikatai wananchi...
Hawa jamaa wa nchi jirani na tv zao kina ktn news,ktn,kina tv citizen,na magazeti yao walidanganya.Aisee kweli hawa ni zaidi ya mabeberu.Tuwapige ban kwenye ving,amuzi vyetu vyooooote.Nasubiri kutoka kwa wale wataalamu wa mawasiliano wa lockdown.Msiwaonee huruma walisema uongo.
Sina uhakika,wala siwezi kukataa kwa asilimia mia.Tungoje watumishi wa Mungu leo watakapoongoza misa ya mazishi watatuambia.Wao ndio wapakwa mafuta na vinywa vyao vimejaa ukweli bila uzushi bali na hekima wanayo kubwa.
Lakini tuliambiwa mh.alikuwa mzima sana na alikuwa anachapa kazi.Na Mh.mmoja...
Alisemaje kwani, julaibibi tangu lini umejiunga Chadema,sio kweli unadanganya mbona juzi ulivaa zile za kijani au uko pote pote.Hivi walikupokea kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.