Sasa hapa nashindwa kuelewa. Kuikosoa na kusema jezi hizi ni mbaya, ni haki ya kutoa maoni. Maana jezi siyo za familia bali za nchi.
Kuikosoa serikali na kusema ni serikali mbaya ni kosa la kupewa ugaidi au uhaini, na siyo uonezi.
Hata Samia alijitwalia urais kwa damu za maandamano na atalazimishwa kutoka kwa maandamano. Hivi hivi huyu hatoki. Na mijinga ya kina Mwigulu inavyompigia magoti ndo kabisaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.