Mm pia ilinitokea ingawa jamaa alikuwa hazimi ila anasinzia mbaya mpaka nikaamua kuahirisha tendo lenyewe, ni hali ya kawaida kabisa wakati mwingine mwili unachanganya mambo na smtimes inakuwa ngumu kuulazimisha unavotaka, so usiwe na wasiwasi it happens .
Aliyeniambukiza tuliachana na sina mawasiliano naye baada tu ya.kumueleza tatizo alilo nalo na alikana hana shida hiyo sasa sijui kama alienda kujitibu au kakaa nalo
Yangu pia ina tabia hizo ila mi nafanya tu backup and reset inakaa sawa, pia akikisha huajazaapps nyingi kwenye phone memory. Unaweza pia enda kwenye app hiyo via setting ukadelete cache na apdates na restart simu ikigoma fanya reset hata zaidi ya mara1
Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana mwezi wa 11, nikaenda hospitali nikachomwa ceftri 5 hazikusaidia hata kidogo, nikaenda kwa dr mwingine akanipa tetrac na metro tatizo likakata kwa wiki likakarudi, nikaenda tena.hospital nikapewa metro(7/7, 10start),
Cipro start, dox7/7 tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.