Recent content by Mbebikajimaarufu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Hakuna kuogapa kupima, nunua kipimo jipime mwenyewe. Ikiwa mwenzi yuko mbali basi kila mkutanapo pimeni.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Geita: Kumbe Ujenzi wa bandari ya Chato unagharimu Bilioni 4.128

    Kila la kheri Mh. Rais. Bebeni hata na Dar ihamishieni huko. Ilimradi hajaiba pesa ajenge tu hamna namna, maendelo ni kwa wote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

    Mitaa gani hiyo mtu analia? Iweje atamke hadharani angali majibu ni siri ya mhusika aliyepima
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi apokea mzigo wa bahasha wenye video ya mkewe akishiriki tendo la ndoa na mwanaume mwingine

    Kama mke wake anafanya hoteli basi huyo aandike maumivu. Nilikaa karibu wiki moja ktk hoteli mojaiko Shanty town Moshi. Nilichokiona kilinifanya niwadiss sana wafanyakazi wa hoteli, sio maboss wala wafanyakazi wa kawaida
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna changamoto na vishawishi vingi hasa kwa wadada wanaofanya kazi kwenye Mahoteli?

    Wanakulana sana tu. Nina experience ya hotel za arusha na moshi hasa Shanty town. Maboss wanajimegea kwa kwenda mbele. Kama una mke au mchumba andika maumivu maana wengi wanategesha miguu
Back
Top Bottom