Recent content by mbatombato

  1. mbatombato

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Hakuna Nyumba ya Mnyika inayouzwa Tanzania

    Kuna aliyekushika akili usiamini?? Amini upendacho chief.. ndio akili zako zilivyo, huwezi kunishangaza hata kidogo...
  2. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi Kwa Professor Lipumba.

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole na wewe kwa kutumika kuandika na kuposti pumba.. Nasi tunaamini kabisa weww pia sio mzima.. lazima utakua na kasoro upstairs.. Maana unavyouzungumzia uchaguzi wa 2020 as if tayari unayajua matokeo.. Only umesahau kwamba kwenye siasa za...
  3. mbatombato

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Hakuna Nyumba ya Mnyika inayouzwa Tanzania

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee Mkuu umenivunja mbavu moja aisee..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dogo kweli kawa kuwadi...
  4. mbatombato

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Hakuna Nyumba ya Mnyika inayouzwa Tanzania

    Yaani Dogo is very very hopeless... Nadhani anatatizo kubwa la kisaikolojia.. Yuko very insecure, na hutumia mcharazo wake kuficha his insecurities hata ikimlazimu kutumika kama taulo kwa issues zisizomuhusu..
  5. mbatombato

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Hakuna Nyumba ya Mnyika inayouzwa Tanzania

    Daaahh!!! Huku duniani kunae mamluki aisee.. yaani leo umegeuka mouthpiece ya Mh. Mnyika?? Who are u btw kutueleza personal issues na deals za Mnyika?? Are u his wife??, his kid maybe?? next of kin?? Or his Lawyer?? Acha kugaragaza P yako kwa kutafuta cheap recognition mjomba.. If ni issue ya...
  6. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Viongozi wa Ukawa: Hatumtambui Profesa Lipumba kama Mwenyekiti wa CUF

    Hupendi au?? Unatamani mushabikiwe ninyi tuu??
  7. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba atengua uteuzi wa Wakurugenzi na Manaibu wa CUF

    Haya Mungiki tumekusikia..
  8. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Je, utabiri wa Zitto Kabwe umetimia/unatimia?

    Mbabaishaji "saa ngapi" katika ubora wake wa kubabaisha na hoja zake hewa zinazoelea patupu... Nimetafuta point katika huu mcharazo wake yet nimeishia kuambulia mataputapu.. To be honest, the dude has lost the old groove he used to captivate us with... Many a times now he z just bluffing...
  9. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Pale wasaliti wa upinzani hugeuka kuwa malaika kwa ccm!!!

    Mmhh!! Kwani EL hana ulinzi wa Dola?? Mbona kama unajitoa fahamu..
  10. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Pale wasaliti wa upinzani hugeuka kuwa malaika kwa ccm!!!

    Mmhh!! We Jamaa aidha mwepesi kusahau au utakua mvivu saana kufikiri... Hivi mlipo mkaribisha chamani kwenu na kumpatia tiketi ya kugombea Uraisi yule mwenye Mvi nyingi baada ya kutemwa na chama tawala kwani yeye alikua ni Malaika??? Hebu ngoja nikucheke maana wewe ni wazi kuwa ni...
  11. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Mbowe kamkosea heshima Lipumba

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu DJ ndio kawaida yake.. Usije shangaa baadae akayatafuna maneno yake kama alivyoyatafuna kwa Mvi nyingi.. He uses anybody for his own political gains and discard them afterwards.. Huyo ndio DJ bwana!!
  12. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Wapinzani hawapingi ununuzi wa ndege, wanachoshangaa ni "ushamba" wa ushangialiaji, kweli ni aibu

    Sawa tunakubali sisi washamba, tunashangilia ununuzi wa ndege kama mzazi ashangiliavyo mwanae kufaulu lasaba.. Well kwa kifupi thru mwandiko wako it obvious wewe mwandishi hujawahi kufaulu kwenye lolote lile, sio lasaba form4, form6 wala chuo kikuu.. Hivyo huwezi kunua wala kuielezea kwa kifani...
  13. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

    Haki ya nani tena hii taarifa yenu kwa vyombo vya habari imekaa kama hekaya ya kusadikika.... soo vague and baseless.. Ipo ipo tu na matamko yenu kibaoo yasio na kichwa wala mguu.. Haina solution ya aina yeyote ile bali imejaa blame games za kutafutia huruma toka kwa unsuspecting citizens...
  14. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Treni ya umeme inakuja July 2017

    Ukichokonoa Ma-V ujiandae kunuka.. Usitafute huruma ya wananchi wakati mwenyewe ulianza kwa kebehi.. Hii inaitwa gonga nikugonge.. Mpaka kieleweke... Kama ambavyo unatetea upande wako kwa kumkebehi mkuu vivyo hivyo tutamtetea wa kwetu kwa kukukebehi na wewe kwa kua umelianzisha mwenyewe..
  15. mbatombato

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bomba la mafuta litakamilika 2020, litaingizia Tanzania dola milioni 2.4 kwa siku

    Fanya subra uje upingane na ukweli.. Maana inaonesha wazi unapenda kuminyana...
Back
Top Bottom