Recent content by Mbatizaji Mkuu

  1. Mbatizaji Mkuu

    Nani Yuko nyuma ya Mtandao wa AbroadTanzania? Propaganda za kitoto zinashusha hadhi ya waanzilishi wake

    Leo Mtandao wa AbroadTanzania usiokuwa na usajili hapa nchini umeibuka Kwa Mara nyingine na kuendelea na tenda Yao ya kupakaza uongo dhidi ya viongozi wa Serikali. Mtandao huu umekuwa ukijinasibu kufichua uovu jambo ambalo ni uongo mkubwa, hivi karibuni Mtandao huu ulitumika kuleta sintofahamu...
  2. Mbatizaji Mkuu

    Kwa kasi hii ya Saashisha Mafuwe, hakuna wa kumtoa Jimbo la Hai

    Ni Mbunge Imara na Mwenye Maono Mapana ya Jimbo lake Anaandika Madam Rose Matemu Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe, katika kipindi chake cha Uongozi, ameweza kuonyesha njia kwa kuwa msimamizi mzuri, msemaji, mfuatiliaji na mhamasishaji wa shughuli za Maendeleo katika jimbo letu la Hai. Mbali na...
  3. Mbatizaji Mkuu

    Serikali yaombwa kumchunguza Mrisho Gambo juu ya utata wa Ufisadi wa kutisha alioufanya Arusha

    Mradi wa bodaboda 2017 - 2020 pesa za wadau wa maendeleo gambo na genge lake walikusanya bila kamati pikipiki 200 kila moja 2,100,000. Bila kamati na kwenye kampeni alisema pesa ziko bank kwenye account ya NMB na paka Sasa azipo na hakuna kilicho fanyika mtu uyu aivumiliki na akisema ya watu...
  4. Mbatizaji Mkuu

    Mpango wa kumchafua Mbunge Saashisha Mafuwe wanaswa, Mbowe na Raia wa Sweden wahusishwa

    Mtaendelea kulia Kila mara na kuandika pumba Ila Saashisha Mafuwe ndio Mbunge rasmi wa Jimbo la Hai, Mbowe ni mwananchi wa Saashisha Mafuwe mpaka 2080
  5. Mbatizaji Mkuu

    Mpango wa kumchafua Mbunge Saashisha Mafuwe wanaswa, Mbowe na Raia wa Sweden wahusishwa

    Mbowe amestaafishwa siasa Rasmi atulie alee wajukuu, Chadema imefutika katika Jimbo la Hai, Kila mahali wimbo ni Saashisha Mafuwe tu Endeleeni kujidanganya tu na Babu yenu
  6. Mbatizaji Mkuu

    Mpango wa kumchafua Mbunge Saashisha Mafuwe wanaswa, Mbowe na Raia wa Sweden wahusishwa

    Mbowe ona aibu sasa, Wewe ulikuwa busy na Chadema yako na maandamano mwachie kijana Saashisha Mafuwe ACHAPE KAZI Nasikia Saashisha kafanikisha Ujenzi wa Barabara ya Bomang'ombe cheki maji TPC kwa Kiwango cha Lami, ,Ujenzi wa Soko la Kisasa la kwa Sadala, ,Kutekeleza ahadi zote alizoahidi...
  7. Mbatizaji Mkuu

    Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini, Juma Raibu ni mwiba mkali wa siasa za Moshi

    MEYA JUMA RAIBU MWIBA MKALI KISIASA MOSHI Nilianza kumfuatilia huyu kijana, Mwanasiasa machachari na mpenda maendeleo Ndugu Juma Raibu ambaye ni Diwani wa Kata ya Bomambuzi iliyopo Manispaa ya Moshi na ni Mstahiki Meya wa Moshi Mjini. Ngoja nimzungumzie kidogo, Huyu kijana ana nyota ya...
  8. Mbatizaji Mkuu

    Meya Raibu atangaza kiama kwa wezi fedha za Tasaf, Jela miaka Saba watakaobainika

    WALAFI WA FEDHA ZA TASAF WAONYWA, JELA MIAKA SABA INAWAHUSU Na Mwandishi Wetu Moshi, Kilimanjaro Mstahiki Meya manispaa ya Moshi Mhe Juma Raibu leo amewatembelea wanufaika wa mpango wa tatu wa Tasaf kwa kaya masikini. Akizungumza katika hafla hiyo Meya Raibu amewataka viongozi wa Tasaf Na...
  9. Mbatizaji Mkuu

    Meya Raibu: Kwa mazoezi nilioyaona leo, wanaotaka kuandamana nawashauri waache mara moja

    Mgeni maalumu Mstahiki Meya wa Moshi Juma Raibu akiongea katika hafla ya Jeshi la polisi ya kuwapandisha vyeo askari wake katika ngazi za staff sajenti,sajenti na koplo amewataka wanaopanga kufanya maandamano kuacha mara moja kwa sababu maandamano hayo sio halali na jeshi la polisi aliloliona...
  10. Mbatizaji Mkuu

    Wadau wapongeza Juhudi za Meya Juma Raibu, Vyanzo vipya vya mapato na kampuni ya ujenzi vyaing'arisha Moshi

    WADAU WA MAENDELEO WAMPONGEZA MEYA RAIBU Na Mwandishi wetu- Moshi, Kilimanjaro Wadau mbalimbali wameibuka na kumpongeza mstahiki meya wa manispaa ya Moshi ndugu Juma Raibu Juma kwa utendaji kazi wenye dhamira ya kuivusha manispaa hiyo kimaendeleo. Wadau hao wakiongozwa na Mbunge wa Viti...
  11. Mbatizaji Mkuu

    Meya Raibu afanikisha ulipwaji mafao ya wastaafu wa makampuni binafsi, Milioni 100 zimelipwa kwa hatua ya awali

    Hao hao watatu wanatosha kwa kuanzia, kheri robo kuliko kukosa kabisa, Hongera sna Meya Juma Raibu
  12. Mbatizaji Mkuu

    Meya Raibu afanikisha ulipwaji mafao ya wastaafu wa makampuni binafsi, Milioni 100 zimelipwa kwa hatua ya awali

    MAAGIZO YA MEYA RAIBU YAANZA KUZAA MATUNDA, MILIONI MIA MOJA ZALIPWA Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Ni takribani miezi kadhaa tangu Mstahiki Meya wa Moshi Mhe Juma Raibu kugundua unyanyasaji unaofanywa na baadhi ya makampuni mjini hapa kwa kutopeleka makato ya katika mifuko ya NSSF na WCF...
  13. Mbatizaji Mkuu

    Meya Raibu ataka kazi iendelee na ikamilike, Milioni 300 zakopeshwa Moshi

    MEYA RAIBU ATAKA KAZI IENDELEE NA IKAMILIKE Utekelezaji wa sheria na maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan umefanyika katika manispaa ya Moshi kwa kutoa mikopo yenye Tshs Milioni 302,904,000 kwa vikundi 133, vikujumuisha vikundi 91 vya Wanawake, 39 vya Vijana na vitatu 3 vya walemavu. Akiongea...
  14. Mbatizaji Mkuu

    Kwenye hili la Sabaya, Mbowe ni Mwalimu wa Siasa. CCM ikasome kwake

    KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM Anaandika Mbatizaji Mkuu Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake...
  15. Mbatizaji Mkuu

    Asante Kijana wetu Sabaya Umetusafishia Wilaya yetu. Tutakukumbuka kwa mema yako yote

    HAYA NDIO MAKOSA MAKUBWA YA OLE SABAYA. Kosa la Power Lensabaya Pale Hai ni kurejesha Ardhi ya Waislam waliyoporwa na Matajiri wa Hai na kuirudisha kwa Bakwata, Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kurejesha Mashamba ya Ushirika iliyoporwa na matajiri wa Hai na kuwapa wananchi wanyonge walime na...
Back
Top Bottom