Recent content by mbati nenga

  1. mbati nenga

    Ujinga wa bodi ya ligi ulianza pale walipopuuza malalamiko ya Simba

    Unapodai hutakiwi kuangalia hasara coz hutaweza tena kupambana na utaendelea tuu kuendeshwa
  2. mbati nenga

    Ujinga wa bodi ya ligi ulianza pale walipopuuza malalamiko ya Simba

    Vipi wakicheza hiyo mechi na wakapoteza mche
  3. mbati nenga

    Kama Derby ya Kariakoo ilihairishwa kwa sababu timu moja wapo iligoma kucheza basi si vibaya bodi ya ligi wakahairisha tena

    Bro yanga anachotaka ni kanuni zitumike kwa usahihi sio kama ambavyo zilivyotumika mchezo ulipoghairishwa coz tff walitumia kifungu kinachowabeba bila kuwa na sabab za msingi.. NB tupo tayar kukatwa point 15 ilimrad kuonesha msimamo tuu hatukupendezwa na uhuni ulofanyika.. WATU WALIKUFA...
  4. mbati nenga

    Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

    Narudia tena.. tulianza kuhesabu pamoja tangu na tangu na kwamba miaka yote tulikubaliana kwa kila mmoja makombe alokusanya,, swali je huo udanganyifu umeanza baada ya yanga kuhesabu la 30 au la? Mana toka nmeanza ufahamu kwa kufuatilia mpira wamiguu nliona waandishi na watangazaji wakihesabu...
  5. mbati nenga

    Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

    Katika hali ya kawaida haya makombe namna ya kuhesabiwa hayakuzuka tuu tena hasa kwa upinzani uliopo baina ya yanga na simba, siamin kama historia ilipotea na kwamba ikaibuka ghafla tuu mwaka huu, mimi nakumbuka toka tukiwa wadogo tulikuwa tukisikia waandishi na watangazaji wa habari wakisema...
  6. mbati nenga

    Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

    Hiko chanzo chako kinatambuliwa na TFF?
  7. mbati nenga

    Mchezo wa derby kurudiwa sio suluhisho la haki

    Kanuni inataka kuwe na sababu za msingi zitakazokubaliwa na TFF. Ni kweli Bodi ya ligi inamamlaka ya kuhairisha mchezo ikiwa kunasababu za msingi zilizopelekea mchezo usichezeke.. katika hali ya kawaida hilo ni fumbo ambalo bado bodi ya ligi ndio wanaojua.. binafsi naunga mkono wazo la yanga...
  8. mbati nenga

    Kwanini watu wanataka Bodi ya ligi wajiuzulu ili dabi iruduwe?

    Kuhairisha mchezo ilipaswa kuwa tukio la mwisho Kabisa tena baada ya kujiridhisha kwa kushirikisha vyombo vya usalama tena kwa mchezo mkubwa kama ule ilipaswa kiongozi mkubwa wa usalama auelezee umma nini kilitokea na hatua gani walichukua tofauti na hvyo ni vile tuu bodi ya ligi walilazimika...
  9. mbati nenga

    Kwanini watu wanataka Bodi ya ligi wajiuzulu ili dabi iruduwe?

    Hoja ya sababu za kiusalama haina mashiko kwakuwa ilitolewa siku moja kabla ya mchezo kitu ambacho inakinzana na kanuni ambayo ilipaswa waainishe siku ya mchezo kulikuwa na tishio gani la kiusalama ambalo vyombo vya usalama waliona hakuna namna nyingne tofauti na kughairisha mchezo. NB: KAMA...
  10. mbati nenga

    Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

    Kwanza unapoleta hoja lazima utueleze ubora wa mpinzani mfano Dodoma jiji au prisons, utuambie current form ya hizo timu.. je ukipima kiubora unaona ni mpinzani sahihi iwapo yanga au timu kubwa Inakuwa na shauku ya kupata matokeo mazuri? Pia angalia namna yanga inacheza kwa sasa ukilinganisha na...
  11. mbati nenga

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwahiyo tufanyeje sisi mashabiki wa arsenal?
  12. mbati nenga

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    Yanga mchakato wao haujakamilika hvyo hakuna mwekezaji yeyote aliyejitokeza. Ila kwasasa Yanga wapo kwenye mchakato wa kufanyia tathmin klabu yao na kujua thaman ili kuweza kukaribisha wawekezaj
  13. mbati nenga

    Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

    Labda ungeeleza kwa mifano ni athari zipi zmejitokeza kwa kutumia majina ya wachezaji kuhamasisha mashabiki? Au kupaka bleach kunaathiri nini mshabiki ambae analengo la kuiunga mkono timu yake? Kama hauna sababu zenye mashiko tuendelee tuu kumpongeza mzee Rage kwa maono yake
  14. mbati nenga

    Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Labda kwa kuongezea kutoka kwa wachangiaji walopita.. bonde la mto msimbazi na mradi unaodhaminiwa na benki ya dunia ambao upembuzi yakinifu umefanywa na kampuni kutoka uholanzi toka 2018.. lengo ni kufanya eneo la mto msimbazi kuwa eneo la kivutio.. Kwa mujibu wa upembuzi wao, baada ya mradi...
  15. mbati nenga

    Yanga tusipokuwa makini na suala la likizo tutaukosa ubingwa mapema

    Upo sahihi hili tatizo lipo toka msimu ulopita, hatupo kiprofessional Kabisa na kama tutaendelea hv, tutashindwa kufanikisha vitu vng kwenye soka
Back
Top Bottom