Recent content by MbaseMbase

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mapungofu ya hati ya kiapo (affidavit) ya mashtaka ya kikatiba (petition) ya Ado Shaibu

    Kwahiyo huyu huyu Dr Kilangi aliyeshitakiwa anampita Kibatala? Ila nadhani Kilangi hamuwezi shangazi Fatuma Karume
  2. M

    JamiiForums Tanzania Misaada: To hell with it!!

    Upo Tanzania na uvalishwa nepi na MAGUFULI na bado unalalamika?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Misaada: To hell with it!!

    Kapakatwa na Magufuli huyo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Misaada: To hell with it!!

    Vichaa 90% wamo humu mbona? Wote wanaopinga hii mada hawana tofauti na vichaa unaowajua lakini sikusemi wewe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Misaada: To hell with it!!

    Ndiyo hao viongozi wanapendwa na USA na EU. Kuna mahali wapinzani wananyanyasika kama Uganda na Cameron hata Misri? Pesa ngapi zinapelekwa huko. Vilaza wengi humu wanadhani wazungu wanawaonea huruma wakaishi huko kwao wawajue wasivyotithamini.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Misaada: To hell with it!!

    Labda anatafuta mchumba wa kumuoa kapendezewa na Msukuma
  7. M

    JamiiForums Tanzania Misaada: To hell with it!!

    Tutapaya adabu ya kujibidisha kufanya kazi kama vile sasa binamu yake Nyani ngabu anavyotupelekesha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mahiga kuwajibu Umoja wa Ulaya na Marekani

    Walikua hivi hivi kwa Kagame watu mmekuwa wasahaulifu sana. Sishangai lakini kwama tulisahau kuwa Lowasa tulimsema kuwa mwizi halafu bado tukatska kumpatia nchi. Ajabu ipo wapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa MO mitandaoni

    Jibu hoja si matusi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ammwagia sifa Mzee Lowassa, amuita 'superman'

    Mlongo kuna wengine wananudhi hata mimi twitter acc ni yako mwenye mamlako nayo ni wewe kwanini wakulaumu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, naomba kufahamu matumizi ya black list kwenye simu

    Kwanini asotumie WhatsApp
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Hahaha itabidi tumtume Lowasa akamuue
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Mbona nimesikia ni kiongozi bora Afrika wa upinzani anamzidi Malema Bisigye
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Hawezi kukaa kimya huyo subiri mpaka jua lizame
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    YEHODAYA kasome mkuu utafunguka mengi. Na sasa hawaiiti unwritten wanaiita uncodified constitution
Back
Top Bottom