Muelekeo wa uchumi na tozo (uchumi kipofu)
Ebu tukae tulizungumze hili kwanza,
Kinachoendelea
Julai 1, 2021 serikali ilitangaza ongezeko la shilingi mia kwa kila lita moja ya mafuta.
julai 15, 2021 serikali ilianza rasmi ukatwaji wa kodi kwa watumiaji wa huduma za kifedha kwa njia ya simu...
Alichokifanya Pep sio kwamba alitaka kupoteza ila ni uwoga mbele ya TT, anamuelewa kwamba ni kocha wa technical sana sio rahisi kufungika Pep alijua tayal TT kashamsoma so alichokifanya ni kabilisha kikosi kujaribu kumhadaa TT hyo plan iliferi
TT ni kocha wa mbinu sana kulingana na game...
Mmetaja nyingi sana 95% nishaziona ila huyu mwamba kanikosha apo kwene Ne Zha bonge moja wa animationa acheni shughuli zote mkatafute iko chombo[emoji91][emoji91][emoji91] sehem ya kwanza na ya pili
Kind make sense according na calculation zako![emoji848] Swali la haraka haraka apo why ilichaguliwa kujenga bwawa kule mto rufiji kwa 6+ Trillions TSH linalozalisha 2115 MW na sio plan ya makaa ya mawe ambayo gharama zake ni 4+ trillions TSH inayozalisha 6000 nawaza kwa saut tu apo[emoji16]
Ukiwa huna pesa unajikuta una vitu vingi sana vya maana vinakuja kichwani right!? Ila ukishaipata sijui vinaendaga wap[emoji23][emoji23]! Just kidding
Developing countries kwa maana nyiingine zinaitwa land of opportunity! Kuna opportunities kwenye kila sectar inayojaribu kuigusa! Shida kubwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.