Wana jamii forums wasichana natafuta mchumba tukiridhiana nioe
Sofa
1) Awe na akili timamu
2)Awe mweupe au maji ya kunde
3) kabila lolote na Taifa lolote
4)Asiwe mlevi awe mwislamu au kama ni dini nyingine awe tayali kubadili dini
5)umli 20-30
6)mcheshi na mpenda ndugu wa pande zote...
Ndio huo ni ujinga kitendo cha kuwakwepa wakuu wa mikoa na wilaya ni upuuzi mtupu huku ni kulindana tu kama kweli sifa ni kujua kusoma na kuandika mbona hatuwaoni mawaziri na wabunge wenye elimu ya Darasa la saba
Kwani ww humpendi ?? Kuna sababu gani za mcngi mpaka umchukie binaadamu mwenzako hatuko kwa ajili ya kuchukiana ila tuna angalia haki tu itendeke ktk mustakabali mzima wa uongozi Bashite amefoji vyeti tukiongea nyie mafisiem mnajua tunamchukia
Ndio maana nakwambia unachemka na unaendelea kuchemka kumbuka Lukuvi as likuwa MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam baadae as kateuliwa kuwa waziri wa ardh nyumba na maendeleo ya makazi hapo hajawa kiongozi wa kitaifa tumia akili kufikiki
Umechemka Dada unaposema swala LA makonda haliwahusu watu wa mikoani Bashite ameteuliwa na Rais ni kiongozi wa Taifa ingawa ni mkuu wa mkoa wa Dar esSalaam kwasababu anaweza kuamishwa na kuja kuwa mkuu wa mkoa katika mkoa wako
Binafsi mm nakushauli Fanya kila linalowezekana umchukue mwanao iwe kinguvu au kimakubaliano ila use tayari kuishi na wanawake wawili kama ikitokea huyo mzazi mwenzio akiachwa maana ni ngumu sana kuendelea kuwa nae kwakua ataonekana si muaminifu katika ndoa
Eti hakuna wajibu wa serikali kutoa ajira kwa sasa kama hakuna wajibu mbona kwenye kampeni zao huwa wanasema watatoa ajira sahiv kuna watu wana degree zao zipo kichwani lkn serikali haina uwezo wa kuwaajiri sasa hiv mna kampeni ya Tanzania ya viwanda hivyo viwanda c ajira acha uboya ww kama...
Hakuna mtu anaetegeme pesa kutoka serikalini ila ni wajibu wa serikali kutoa ajira kwa wananchi na kudumisha zile zilizopo sasahiv wafanyabiashara wanalalamika pesa hakuna sector binafsi zote zipo hoi kwa mfano hoteli nyingi zimedungwa sasahiv kwa sababu hakuna mzunguko wa pesa hakuna semini...
Kwahiyo askari waliomkamata walitumwa au walijipebdekeza tu kwa mkuu wa kaya ili waonekane wanafanya kazi nzuri nchi hii bhana ukiwa na mhalifu wako ukiwafuata askari wakukamatie mhalifu wako wanataka rushwa lkn mambo mengine ambayo wao wanayaona kuwa ni makosa sio makosa au ndio wanatafuta kiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.