Recent content by mbape abdul

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya "L" na "R" kwenye kiswahili

    Kweli ndugu yangu uko sahihi utata katika lugha yetu umekithiri utasikia mtu anasema .... NIMEENDA NIMEMKUTA HAYUPO..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga ni akina nani hawa?

    Bila shaka wahenga watakua babu zetu kweli kwa sababu hii misemo hata sie tumezaliwa tukaikuta ikitumika japo waloongea ni vigumu kuwajua because it was a long time ago.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

    Tatzo fogisu nyingi mwisho wa siku hatutojua yameishia wap..
Back
Top Bottom