Recent content by Mbanza Li

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina shida sana na majina ya Grace na Jane, Ninawapenda sana

    iyo inatokana na unavyo tune mindset yako kwa hayo majina, pia yawezakuwa wapenz wako wa mwanzon waliitwa hayo majina. Ila cyo mbaya ukiendelea kuwapenda but choose right one na cyo kila mwenye hayo majina umpende!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Me Nimechaguliwa Agricultural Economics And Agribusnes, Vp Hii Coz Ipo Kwenye Soko La Ajira?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa SUA tu

    Bado Mkuu, Vp Wameshaanza Kuzitoa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    Wanajamv Naomba Kufaham Mkopo Kwenye Hii Coz " Agricultural Economics And Agribusns" . Msaada Jaman Kwan Wananiambia Japo Priority To Loan Lakin Hawapew Wanaoisoma, Je N Kwel?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    Naomben Ushaur Juu Ya Hii Coz, " Economical, Agricultural And Agribusns" Hasa Juu Ya Soko La Ajira!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu points za kuingia chuo 2014/2015 ni huu hapa

    Co inakuwaje kwa mwenye CCD, hist~C,geo~C, na kiswa~D, anaweza kwenda chuo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua jiografia tu!

    Tofauti kubwa kati ya low na high oblique ni kwamba, low oblique inachukuliwa at low angle(45~89),high at high angle
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchanganuzi wa Matokeo ya ufaulu wa kwenda Chuo Kikuu

    It is true that prinsiple pass is A-D,lakini kwa wanaoenda chuo kikuu prinsiple pass ni A-C,D inasaidia kwa d.3 ya CCD
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

    Sio kila kitokacho kinywani ni sahihi, naomba uwe unakosoa akiri yako kabla hujapost
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lugha za Mahaba za miili yetu. Tambua yako !!

    Wanajanvi help! utafanyaje kama anaye stahili kukufuta machozi ndiye asababishae ulie?
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemo mpya wa kina dada

    Kama ya kwako?
  12. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Me ningepata wa kubadilishana kutoka karagwe-kasheshe kwenda-kigoma kasulu idara ya msingi tuwasiliane
Back
Top Bottom