Hapan sio kwamba huna akili...la hasha wala kufeli usaili haimaanishi ww nanga.
Inategemeana na maswali ulokutana nayo siku hiyo kikubwa ni usife moyo ipo siku usiyo itarajia utapenya na hutaamini.
Omba na sali sana...Mungu anakuona na wala hajakutupa!
Ukisubirigi yanayosemwa utakesha saaaana!.
Kwa kuongea na kuaminisha watu viongozi wetu wapo vzr ila njoo kwenye uhalisia.
Mm I wish akisema ajira ni 44k na vibali vishatolewa sasa nione tangazo lenye kuhitaji hao watu hapo ingekuwa magoli saaana na nadhan hata huko kulalama kwa sana kwa sisi...
Yaaan kumbe na ww unakutwa na changamoto ya hivi.
Nilidhan labda kuna namna nmekorokocha simu ndo ikaniletea hivi.
Kwanza hata pics huwa haziwezi kufunguliwa kwa app had kwenye browser. Sasa naona hata uzi wanasema tumia browser🥲
Kale ka-feeling ka kuwa umeambiwa ufuate barua yako pale Asha Rose Migiro. Usingizi hauji hasa ukiwaza siku kbao ulizokuwa unasubiria hilo PDF mbaya zaidi uwe ambao ulifanya nao usaili walishaingia kazini miezi hata 8 ndo unatokea kwa PDF means unakuwa huna hili wala lile mara paaaaapu simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.