Recent content by MBANGALA

  1. M

    Hebu angalia picha hii ya kizazi cha digitali

    Mitoto mingine bwana! Hili linaonesha kuwa huyu dogo atakuja kuwa kidume wa ukweli katika maisha yake! Kisha lazima awahi kubalehe kabla ya wakati!
  2. M

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    Mi ningemmalizia na yeye kabisa ili awe wife halali wa pili!
  3. M

    Yamenikuta

    Pa1 man, cha muhimu ni matumizi tu coz kuna watu wengine wana pesa nyingi but maisha wanayoishi ni magumu kuliko mtu asiye na kitu kabisaa. Anza jimu ya nonino yako tu, inatoshaaa!
  4. M

    Yamenikuta

    ofcoz mademu ndo walivyo! unapokuwa in love wanakusifu sana na kukuambia kuwa we mkali wa shoo!! but when love ends, huwa wanatoa kauli kama hizo!! isitoshe wapo mademu wengine hawapendi dudu kuubwa! So anza mwaka mpya na new Choice!
  5. M

    Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

    mi nahc huyu jamaa anatumia mawe ya mtoni kusugua watu thats why anaulizwa ulizwa swali hilo2!
  6. M

    Ni asilimia ngapi ya ubongo wa binadamu hutumika kufikiri juu ya mapenzi kwa kila siku?

    Kwakuwa mapenzi ndo kila kitu katika maisha ya viumbe hai vyote ulimwenguni; binadamu,wanyama, n.k. Nimekuwa nikifikiria sana juu ya mapenzi namna yanavyochukua muda mwingi wa binadamu aliyekamilika. Coz JF ndo ground la ufumbuzi kwa kila kitu! Kama hutamtamani mtu, au kuanza kumuimagini basi...
Back
Top Bottom