Recent content by MBAMILO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Demokrasia kutendeka katika nchi amayo watu wake ni masikini wa kipato ni changamoto sana. Napendekeza tuwe na midahalo ya kuwachuja viongozi wetu hasa kwa ngazi za ubunge na urais. Maswali yawe objective ndipo tutapowajua viongozi ni wapi na wahamasishaji ni wakina nani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    Ungumbaru unatuathiri sana.....................wasomi wachache sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dakika 5 za Dk. Kigwangwalla na dakika 12 za Mh. Tundu Lisu kabla ya kukatishwa

    Tundu Antiphas Mughway Lissu.........................ni muwazi na mkweli pia ni jasiri. Yawezekana wapo kama Lissu Tanzania ila tofauti yao kubwa na Tundu A.M.Lissu ni ujasiri wa kuyaongea wanayoyaamini katika uwazi bila kumung'unya maneno.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

    This is very interesting and encouraging, it gives me hope that we, Tanzanians, still have excellent leaders who are outside the system and there is a great need for them to lead us. I am quite sure that they will take us through this transition period that we are now. I am again pretty sure...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

    Ndugai alipokuwa katika mjadala ITV na Lissu, alizidiwa; Leo na Mnyika amezidiwa pia sasa napendekeza afanye aidha na Nassari Joshua Samwel au Silinde David Ernest japo naona Kama ataomba pooo vile....mtazamo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Amtega baba mzazi.....

    Amelaaniwa huyu mtu.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Old Bagamoyo Road yabatizwa 'Mwai Kibaki Road'

    Umenza kwa kujenga hoja vizuri sana ila hitimisho ndo umekosea hasa kwa kusema kwamba Mwai Kibaki anahaki ya kuenziwa km walivyoenziwa akina mandela,samora na nujoma, wakati wali uliwapinga na mwisho unasema wanahaki. Hivyo natofautiana na wewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Fr Evaristus Mushi: Dr. Slaa na Mtikila wanena

    Ni jukumu lako kutafuta maarifa, sio lazima uletewe
Back
Top Bottom