Recent content by MBALAMO.COM

  1. M

    Kuna watu kutokana na comment zao ninawaheshimu kuanzia leo

    Mtu mwenye hekima siku zote ni yule anaetambua kukiri pale anapo ujua uhalisia. Safi sana kwa kuwapongeza wale waliofanya mazuri.
  2. M

    Shemeji yenu kachemka swali hili dogo.

    Your comment show unconfidence you have. No reason in true love may be in general love.
  3. M

    Nape: Tupo Dodoma kujadili maoni ya Wana CCM kuhusu katiba,CHADEMA mmechemka!

    Hua kila siku naamini ktk usemi usamao,ukitumia njia ilele na watu walele walikosea huwezi kuleta mabadiliko.
  4. M

    MWAKYEMBE: Viongozi wasiopenda kukaguliwa wasipande ndege [Channel 10]

    hongera sn mwakiembe MUNGU YU PAMOJA NA WE
  5. M

    Tabia ya Mume inanitesa

    Pole sana dada yangu. Ninaungana na mchangaaji mmoja hapo juu,kunauwezekano mkubwa sana kua huyo jamaa kunakitu amekijua ambacho kilifanywa na huyo mke wake siku za nyuma na alikua hakijui na baada ya kukijua kimeondoa thamani yote chamsingi tafuta mtu wa karibu yake then ujaribu kufanya...
Back
Top Bottom