Polepole anasema wana mtandao ni kundi hatari sana na kwa bahati mbaya inaonekana hata wao walizidiwa nguvu za kuweza kuwashikisha adabu sasa kama walifanya kosa kubwa la kumshambulia lisu hapo sasa si ndio ulikuwa wakati sahihi wa kufanya uchunguzi wa kina kisha kuwatia hatiani na kuwapoteza...
Jana nilikuwepo kawe kwa nilichokishuhudia upinzani kuchukua nchi bado sana na jana ndio niliamini maneno ya Bashiru ukiwa na dola halafu ushindwe uchaguzi utakuwa ni ufwala
Ukiona wameenda basi jua wamependa kwenda umezuiwa usifanye biashara sawa je umelazimishwa kwenda kwa nini usilale kwako ukafanya shughuli zako zingine
Hakuna kiongozi anayependwa na watu wote hata Magu pamoja na mazuri yake bado siku alipokufa kuna watu walishangilia hata juzi tu hapa kafa ndugai kuna watu walishangilia hivyo haitakuwa ajabu au jambo jipya
Hapo ndipo mnapo haribu yaani huyu aliye set hili wazo la devide and rule kwa msingi wa dini alitupatia sana sisi wa Tanganyika na itatuchelewesha sana coz mtu haangalii ufanisi wa kiongozi bali huangaliwa zaidi dini yake mtu yupo radhi kusifia hata ujinga mradi tu umefanywa na kiongozi wa dini...
Ukiamua kuwa jasiri wa kusema juu ya mabovu ya kiongozi basi huna haja ya kuogopa chochote labda ujasiri wako uwe wa kimaslahi binafsi au chuki kwani lisu alikuwa mkosoaji mkubwa wa jiwe na alisimamia alichokiamini hata alipo umizwa alipopata nafuu aliendelea kusema maovu ya jiwe na wala hakuufyata
Pole pole na kundi lake walijipanga baada ya jiwe kutawala miaka 10 waje wao sasa baada ya jiwe kutangulia mbele za haki na saa100 kushika usukani na kuonyesha nia ya kuendelea ni kama vile mpango wao unaenda kufa hapo pesa iliyotumka kutengeneza mtandao wao kupotea pia muda kwa kigezo cha umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.