Recent content by Mbadala sahihi

  1. M

    Baada ya Kenya kukosa pesa za kujenga reli sasa Uganda inakuja kivingine

    Nani aliwaambia nyie Watu weusi ukikosea lugha ya Ya mzungu ni aibu?? kuna kitu hakipo sawa mahali
  2. M

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Kakobe alisema serikali ila hakujata serikali ipi?? je kma alimanisha yawafunzi pale Mlimani je?
  3. M

    Kochi na kwisheni zake vinauzwa

    Viko mkoa gani
  4. M

    Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

    MAGUFULI PIGA KAZI SISI WAPIKA KURA WAKO TUPO NA WWE ACHANA NA HAWA WAPIKA KELELE TU Uwanja wa ndege ni mhimu sana huku!! Miaka yote viwanja viko kwao tu!! Eti wanahoji economic viability ya uwanja!!! HUKU KWETU MMEONA NIMASIKINI SANA HATUWEZI PANDA HIZO NDEGE?? ACHENI DHARAUUUU of all...
  5. M

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Mkuu umefafanua vzuri kabsa kuwa watanzania bado hawajielewi, na na hisi PRESIDENT wetu mpendwa kaliona hilo ameamua azuie tu tuvute muda watu wetu wapate akili kwanza jinsi ya kufuika na hawa jamaa Ya wezekana tusiwe sisi maana akili za watu wengi bado finyu sana hivyo vizaz vjavyo wakipata...
  6. M

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Magufuli baba piga KAZI....... HIZI KELELE TU!! TUPO NYUMA YAKO 2020 UTAPITA BILA KUPINGWA Ni mmi mpiga kura mtiifu....from Mwanza Tanzania
  7. M

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Mkuu wao hapo hawakutungu hizo sheria, bali sisi wenyewe pigania wabunge watoe hizo sheria. kuhusu 'Mungu' kumbuka huyu si wamtu mmoja hivyo huwezi kumwalia achukue hatua gani juu yao. Halafu vpi kale kautaratibu ka kupiga risasi mbwa mtaani ulishapiga kelele pia,? Maana hao pia hutolewa uhai...
  8. M

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Hakuna anakataa haya, ila sikwa taratibu zao za kuchukua twiga na mchanga mkuu, waje na njia nzur kama kweli wanatupenda
  9. M

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Mkuu hawakuchoma vifaranga kwa dhamira ya kumtia hasara huyu binti bali ni kuhofia magonjwa mkuu. Think twice. Swala la mchnga halifanani na hii case apa
  10. M

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Mkuu kumbe shida yako sio kutoa uhai wa viumbe hai?? Bali nikuhusu faida yake kwa binadamu?? Kuhusu matunzo kwa mfanya biashara huwa haimuhusu maana hizo gharama zote mwisho anae bebeshwa ni final consumer, Hapo yeye alipaswa achukue mzigo kiasi tu pesa nyingne aachie kwa kuwahudumia. Ila kwa...
  11. M

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Mkuu unaijua biashara ya magendo??? High profit na pia high risk!! Kuhusu kuua vifaranga, kunasheria nyingne ya kupiga risasi mbwa koko mtaani mbona watu huwa hampigi kelele?? Au kwa kuwa mbwa haliwi?? Lakini huwa anatolewa uhai kwa hofu anaweza kueneza ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Lakini huwa...
  12. M

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Kuna sheria mkuu inaruhusu kuchoma binadamu mkuu!!! Nilsema hebu tujiulize walichokifanya kwa sasa nikinyume na sheria zetu??
Back
Top Bottom