Recent content by mbabe wa mikia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu katoka kutembea na mke wa mtu

    We mbirikimo wa mawazo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu katoka kutembea na mke wa mtu

    We muhuni sana jamaa Umbeya wa nn kwanini usimchane laivu Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke mdogo amuua mke mkubwa wakigombania zamu ya kulala kwa mume

    Nani kakudanganya Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mke mdogo amuua mke mkubwa wakigombania zamu ya kulala kwa mume

    Wanawake wajinga sana ni maindi ile mbaya at jemi Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa albino

    Unataka kuwapiga mnada nn?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

    Vipi baba yako ? Ulivyomwacha pekee yake kijijini na wewe utaachwa hivyohivyo Na wanao Muwe mnawachukua wazazi wote pamoja Unyambizi sana hata usingeleta kisa hiki hapa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    Kwa mtoto wa kike au kiume? Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

    Ulijitangaza vibaya sana kwake mpaka akajua jimbo liko wazi hivyo katangaza nia tu . Uwe na msimamo dhabiti natamani wanao mpaka wajitegemee ndiyo uanze safari nyingine ya maisha . Nakushauri mwambie kama hatojali muwe marafiki mpaka watoto wamalize vyuo ndo utamuoa , akifrit jua siyo mke ...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    Huu utoto utoto huu 23 yrs unapenda?????? Soma acha ujinga wewe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nitasimama na SIMBA yangu daima

    Uchawi tu hamnalolote Subirini mhenye na uchawi wenu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kutamkiwa maneno haya na mwanamke, huyu ndio wa kwanza

    Mwanamke huwa anaangalia mbali na kuona, mwanamke akikuona wewe una haiba ya kiume kwake ataongea kwa hofu na aibu ila akikuona una haiba ya kike kwake anaongea maneno mbovu mbovu kama lilivyo na matusi wanajua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni mlioihujumu Simba jana, fanyeni hivyo na Azam pia Jumanne

    Yanga akishinda kahonga Sasa mmeongezea nyie mnahongwa tena ndo muingie kinyumenyume kwa mwarabu [emoji1787]
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

    Simba hata akisajiri mchezaji wa kiwango kikubwa sana ni hamna kitu uchawi umetawala akili zao mpaka wanaweka pembe tatu kwenye majezi na nyota shingoni alama za kifremansoni Mtapigwa daile leteni tu nyuma
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Kitendo cha Basi letu Simba SC jana kurudi Kinyumenyume tukibatizwa Jina baya tuwe Wavumilivu tu

    Simba wezi tu mpakq warudishe vitu vyangu na wakome kutumia nyota za watu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nataka nioe mwanamke wa Kisukuma, Wanyantuzu je wapoje?

    Manara anajua kamuulize tu atakujuza
Back
Top Bottom