Habari wadau wa jamii forum, natafuta tenda ya kuleta kuku wa nyama kwenye mahotel na sherehe mbali mbali kwa yoyote mwenye kuhitaji tuwasiliane whatsup no 071b423251. Ni kwa dar pekee. Ahsanteni
Wadau kuna friend wangu anatafuta boyfriend
yeye ana umri wa miaka 21
Sio bonge mrefu wastani
Na pia ni rangi maji ya kunde
Anae muhitaji awe ana
Umri kati ya 21 adi 23
Asiwe mfupi sana wala mrefu san .
Dini muislam, mapenzi ya kweli muhimu pesa badaeeeeeeeeeeeee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.