Pale Simba sc inatakiwa ipatikane brain ya mpira kama Heris. Yanga watunze sana hiki kichwa. Kwanza football anaijuwa halafu ipo kwenye damu yake. Uchukuwe viongozi wote wa Simba hata theluthi ya brain ya mpira aliyonayo Hersi hawaifikii.
Ukweli usemwe Simba hawana kikosi cha ushindi ndani hata kimataifa. Wanapoteza mipira mara kwa mara hawakai na Mpira na wakijaribu kufanya hivyo wapinzani wanaichukua kirahisi mno. Naiona safari ya fadlu September 16
Bila shaka kwani akipita ndio itakuwa miaka yake mitano ya kwanza ya utawala wake katika hiyo kumi. Hii anayomalizia ni katika sehemu ya utawala wa Magufuli.
Anachokizungumzia Jk mbona tofauti sana. Samia anamalizia awamu ya tano ya Magufuli. Baada ya hapo alitakiwa aombe ridhaa ya hiyo nafasi akishindana na watu wengine wa chama ambao nao wahitaji hiyo nafasi.
Hata yeye mwenyewe Jk alipoweka nia ya kutaka hiyo nafasi hakuwa peke yake ulifanyika...
Hivi mkuu nikuulize tu, ikiwa tupo kwenye basi linaloelekea Arusha ghafla basi likapata hitilafu na kuthibitika halitoweza kuendelea na safari lakini ukafanyika utaratibu wa kampuni husika kuletwa basi lingine ili kuendelea na safari.
Je dereva itamlazimu arudi na kuanza upya safari kwa ruti...
Mkuu moja ya shauri ambazo zilitolewa mojawapo ni hilo. Ila kuna watu wanamtia ujinga eti akienda hospitali ikitokea akadungwa sindano,ikilala itakuwa imelala mazima.
Ni dereva wa malori ya mchanga. Ni takribani siku kumi na moja zimepita tangu kutokewa na hili janga. Kwa mujibu wa maelezo yake, baada ya kutoka kwenye mishe zake moja kwa moja alirejea nyumbani bukheri wa afya.
Usiku wakati yupo kwenye mapumziko na mwenza wake,ndipo tatizo lilipomuanzia. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.