Recent content by mazikukulwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Fernandez amlaumu Nyerere kwa kutaifisha mali za wahindi!

    Huyo jamaa ni msanii mbona anajidai ni mchungaji lakini sasa amefungua kapuni ya Agape Associate ianjishugulisha na mabo mengi sana ya kibiashara. sasa TV yake ya Agape ni mpaka ulipie TIN ndio unapata matangazo,na tukumbuka katika mkutano wa Mh Pinda na waekezaji wa Sumbawanga na maeneo ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Human resources officer-msaada

    wadau hakuna HR officers humu? mbona mmenipotezea kabisa??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Human resources officer-msaada

    Wadau naomba mnisaidie,ilikufanya kazi kwa ufanisi kama human resources management officer(wa tasisi ya uma-training institute) naitaji kuwa na nondo gani za muhimu kuniwezesha kufanya kazi hii? Mfano copy za sheria gani? Public standing orders na yapi mengine?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Wadau salaamuuu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    wasalaam wadau
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Ahsante mdau kwa mawazo yako,nimekupata
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    wadau salaamu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Ahsante sanadugu yangu kwa msaada huu mkubwa na kunipa moyo niendelee kupambana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Wadau naendelea kupokea mawazo na misaada yenu pia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Asubuhi imekucha hakika naamni itakua siku mpya na bora kuliko zote.wasalaamu wadau
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako nimekupata vizuri sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Ahsante sana ndugu kwa kunipa moyo na zaidi kuniweka katika sala zako,ahsante sana sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Ahasante sana ndugu yangu kwa maneno ya faraja.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Ahsante Mkuu kwa mawazo yako
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha msaada wa dhati, nateseka

    Ahsante nawe pia mdau
Back
Top Bottom